Bud Spencer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 24:
Spencer alianzsiha kampuni ndogo ya uchukuzi wa mizigo, hasa katika viwanja vya ndege, kampuni ilijulakana kama ''Mistral Air'' mnamo [[1984]], lakini baadae aliachana nayo na kwenda kununua kampuni ya kutengeneza nguo za watoto.
 
==MaishaShughuli Binafsiza uigizaji==
Bud Spencer filamu zake za awali alikuwa akiigiza kama moja kati ya walinzi wa la Praetoria, katika filamu ya Quo Vadis, ni filamu iliochezwa nchini [[Italia]], mnamo mwaka [[1951]]. Kwenye miaka ya [[1950]] hadi miaka ya [[1960]], Spencer ameonekana katika baadhi ya filamu za [[Italia|kiitalia]], lakini bado kazi zilikuwa zinaushindani mdogo hadi kufikia mwishoni mwa miaka ya [[1960]].
 
Spencer baadae akakutana na mwigizaji filamu mmoja aitwaye [[Terence Hill]], ambaye kwa pamoja wakafanya [[Filamu za Western|filamu nyingi tu za Western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[Spaghetti Western|spaghetti western]], na nyingine nyingi, ikiwemo zile walizokuwa wakiziitwa kwa la [[Marekani|kiamreka]], filamu hizo ni kama zifuatavyo:
 
# God Forgives... I Don't! (1967)
# Ace High (1968)
# Boot Hill (1969)
# They Call Me Trinity (1970)
# Blackie the Pirate (1971)
# Trinity Is STILL My Name! (1971)
# All the Way, Boys! (1972)
# Watch Out, We're Mad (1974)
# Two Missionaries (1975)
# Crime Busters (1976)
# Odds and Evens (1978)
# I'm For the Hippopotamus (1979)
# Who Finds a Friend, Finds a Treasure (1981)
# Go For It! (1983)
# Double Trouble (1984)
# Miami Supercops (1985)
# Troublemakers (1994)
 
Filamu nyingi za aina hii zilikuwa na majina mawilimawili, maana ilikuwa inategemea na nchi yenyewe au msambazji mwenyewe vile apendavyo. Baadhi zilitolewa katika muundo wa lugha ya [[Italia|kitaliano]] na kubadilishwa au kutafsriwa kwa lengo la kwenda kuuza nchi za nje. Filamu za namna hiyo zilileta mkusanyiko mkubwa wa wagizaji wa filamu kutoka nchi mbalimbali hasa zile nchi za [[ulaya]]. Kwa mujibu wa IMDB wanasema kwamba waigizaji hao wa [[Italiano|kitaliano]] na ambao sio wa [[Italia|kitaliano]] wametengeneza takribani filamu 19. Hizo filamu zilizodi (Mbali na zilizorodheshwa hapo juu) Upo uwezekano mkubwa wa kuwa na matoleo mawili ya kijerumani ya filamu ya "God Forgives... I Don't!" na "Boot Hill" ambayo ilimalizaliwa kabisa, kukata baadhi ya vipande na kuweka jina jipya ili iweze kusukumwa na haraka sokoni.
 
==Shughuli za Mwanzo==