Binadamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 161 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5 (translate me)
No edit summary
Mstari 30:
Halafu upimaji wa [[kromosomu Y]], ambayo kila mwanamume anarithi kwa baba tu, umeonyesha kuwa wanaume wote waliopo duniani wanachanga baba mmoja aliyewahi kuishi walau miaka 70,000 hivi iliyopita, kidogo kabla ya watu wa kwanza kuhama bara la Afrika na kuenea [[Asia]] labda kufuatia pwani za [[Bahari ya Hindi]].
 
Hata hivyo, miaka hii ya mwisho imegundulika katika baadhi ya wanaume wenya asili ya kabila la [[Wambo]] ([[Camerun]]) aina ya kromosomu Y tofauti sana na ile ya wanaume wengine wote waliowahi kupimwa, kiasi cha kukadiria imetofautiana miaka 350,000 hivi iliyopita.
Hata hivyo, upimaji wa [[DNA ya mstari]] kwa jumla umeonyesha miaka ya mwisho uwezekano wa kwamba baadhi ya binadamu wa leo, wale wasio wa kusini kwa Sahara, wana asilimia 1-6 ya urithi wa kibiolojia kutoka kwa aina nyingine za homo, hususan [[Homo neanderthalensis]] na ile ya [[pango la Denisova]].
 
Hata hivyoVilevile, upimaji wa [[DNA ya mstari]] kwa jumla umeonyesha miaka ya mwisho uwezekano wa kwamba baadhi ya binadamu wa leo, wale wasio wa kusini kwa Sahara, wana asilimia 1-6 ya urithi wa kibiolojia kutoka kwa aina nyingine za homo, hususan [[Homo neanderthalensis]] na ile ya [[pango la Denisova]].
 
Kama hao waliweza kweli kuzaliana na [[Homo sapiens]] maana yake walikuwa [[spishi]] moja na yeye. Hapo asili ya binadamu inatakiwa kuhesabiwa ya zamani zaidi sana kuliko miaka 200,000.
Line 91 ⟶ 93:
 
[[Jamii:Jamii]]
[[Jamii:Binadamu]]
[[Jamii:Binadamu na jamaa]]
[[Jamii:Biolojia]]