Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
== Maisha ==
 
Atanasi alizaliwa Aleksandria wa Misri mwishoni mwa [[karne III]], wakati [[dhuluma]] za [[Dola la Roma]] dhidi ya [[Ukristo|Wakristo]] zilizuwazilipozuwa zikielekea kilele na kikomo chake.
 
Alikulia katika [[jiji]] hilo, ambalo wakati huo lilikuwa likiongoza kimataifa upande wa [[biashara]], [[ustaarabu]] na [[elimu]].
 
Inaonekana tanguTangu ujanani alihusiana na wamonaki wa jangwa la Tebais, na miaka 356-362 aliishi kati ya wamonaki[[monasterini]].
Upande wa dini, baada ya dhuluma za serikali ya Dola la Roma kwisha, Wakristo wa Misri walikuwa na [[chuo]] muhimu cha [[katekesi]], lakini kulikuwa pia na maelekeo ya hatari, hasa wafuasi wengi wa [[GnosisGnosi]], mbali na wale wa [[dini za jadi]] zilizoabudu [[miungu]] mingi.
Maisha yote ya Atanasi yanahusika na juhudi kubwa za [[Kanisa Katoliki]] kwa ajili ya kufafanua na kutetea [[imani sahihi]] juu ya [[Yesu]] na juu ya [[Utatu]].
 
Mwaka [[319]] [[askofu]] [[Aleksanda wa Aleksandria]] alimpa [[daraja takatifu]] ya [[ushemasi]] na kumfanya katibu wake. Akiwa bado shemasi, mwaka 325 alimsindikiza na kumsaidia askofu wake Aleksanda wa Aleksandria kwenye [[Mtaguso I wa Nisea]] mwaka [[325]] ulioitishwa na [[kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] ili kujadili mafundisho ya [[padri]] wa Aleksandria, jina lake [[AriosArio]], kuhusu [[dhati]] ya [[Yesu Kristo]]. Huyo alisema [[Neno wa Mungu]] si Mwanae halisi, bali [[kiumbe]] tu, ingawa cha Kimungu kwa namna fulani cha Kimungu. Hivyo alikataa uwezekano wa [[binadamu]] kushiriki [[umungu]] kwa njia ya [[Kristo]].
 
Dhidi ya AriosArio, aliyefuatwa mapema na watawala na maaskofu wengi, huo [[Mtaguso mkuu]] wa kwanza ulitumia neno la [[Kigiriki]] ὁμοούσιος (''homoousios'', yaani "wa dhati ileile" ya [[Baba]]), ili kukiri kwa namna wazi usawa kamili wa [[Mungu Baba]] na [[Mwana]] aliyezaliwa naye bila ya kuumbwa.
 
Akishikilia msimamo huo moja kwa moja Atanasi alipaswa kustahimili dhuluma za serikali, hata akafukuzwa katika [[dayosisi|jimbo]] lake mara tano na kupelekwa uhamishoni tangu miaka michache baada ya kuchaguliwa [[Patriarki]] wa Aleksandria na wa Misri yote mwaka [[328]] (alipokuwa na umri wa miaka 30 tu) hadi mwaka [[366]], ambapo kaisari alilazimishwa na [[umati]] amrudishe Aleksandria.
 
Ushindani wake na [[serikali]] ulifikia kilele alipokataa agizo la Konstantino la kumrudisha AriosArio kwenye [[ushirika]].
 
Katika mapambano yake aliungwa mkono na [[Sinodi ya Roma]] ya mwaka [[341]] na ile ya [[Sardica]] ya mwaka [[343]].
Mstari 31:
 
==Maandishi==
Pamoja na kyakeupatwa na [[vurugu]] nyingi maishani, Atanasi aliandika sana: [[hotuba]] na [[barua]], lakini pia vitabu juu ya [[imani]], vya [[historia]], vya [[ufafanuzi]] wa [[Biblia]], pamoja na [[maisha ya Kiroho]].
 
Kitabu kilichoathiri zaidi maisha ya Kanisa labda ni "[[Maisha ya Antoni Abati]]" ambacho kilieneza [[umonaki]] haraka mashariki na vilevile magharibi.
 
==Teolojia yake==
Atanasi hakuwa mtu wa nadharia tu, bali hasa [[mchungaji]] aliyeona mapema [[hatari]] iliyofichika katika [[uzushi]] wa AriosArio, yaani kurudia [[Upagani]] wa Kigiriki. Hamu yake ilikuwa kulinda kikamilifu “[[mapokeo]], mafundisho na imani ya [[Kanisa Katoliki]] ambayo [[Bwana]] aliitoa, [[Mitume wa Yesu|Mitume]] waliihubiri na mababu waliitunza”.
 
Hivyo alitetea uwepo wa [[Utatu]] “kikwelikweli” na kusisitiza kwamba Neno hakuumbwa bali alizaliwa na kuwa na umungu uleule wa Baba. Mwana ana utimilifu wa umungu na ni Mungu kamili. Baba na Mwana wana hali ileile ya [[milele]]. Hiyo ni muhimu kuhusu [[ukombozi]], kwa sababu tusingeweza kuokolewa bila Mungu kujifanya mtu. Ndiyo sababu [[Bikira Maria]] anaweza kuitwa [[Mama wa Mungu]]. [[Roho Mtakatifu]] hawezi kuwa kiumbe ndani ya Utatu, bali ni Mungu yule yule.
 
== Orodha ya maandishi yake ==
Mstari 94:
* [http://tera-3.ul.cs.cmu.edu/cgi-bin/getImage.pl?target=/data/www/NASD/4a7f1db4-5792-415c-be79-266f41eef20a/009/499/OTIFF/00000060.tif&rs=1 ''Concorida Cyclopedia'': Athanasius]
* [http://www.lcms.org/ca/www/cyclopedia/02/display.asp?t1=A&word=ATHANASIUS ''Christian Cyclopedia'': Athanasius]
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/20_30_0295-0373-_Athanasius,_Sanctus.html Opera Omnia by [[Migne]], [[Patrologia Graeca]] with analytical indexes]
* [http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?SID=4&ID=1&FSID=100219 St Athanasius the Great the Archbishop of Alexandria] Orthodox [[icon]] and [[synaxarion]]
* [http://www.fourthcentury.com/index.php/athanasius-werke-contents English Key to Athanasius Werke]