Ambrosi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AmbroseOfMilan.jpg|thumb|Mt. Ambrosi alivyochorwa kwa nakshi za mawe katika [[kanisa]] lake huko Milano]]
'''Aureli Ambrosi''' (334/339[[Trier]], leo nchini [[Ujerumani]], [[335]] hivi - [[Milano]], [[Italia]], [[4 Aprili]] [[397]]), alikuwa [[askofu]] wa [[Milano]] kuanzia mwaka [[374]] hadi kifo chake.
 
Ndiye aliyemuongoa na kumbatiza [[Agostino wa Hippo]]
Mstari 8:
== Maisha ==
=== Mwanasiasa ===
Ambrosi alizaliwa katika [[familia]] ya [[Ukristo|Kikristo]] ya [[Dola la Roma]] kati ya miaka 334 na 339 akakulia [[Trier]] (leo nchini [[Ujerumani]]).
 
Baba yake, aliyeitwa Ambrosius Aurelianus, alikuwa [[liwali]] wa [[Gallia]] (leo [[Ufaransa]]); mama yake alijulikana kwa akili na imani yake. Ndugu zake, [[Satyrus]] na [[Marselina]] wanaheshimiwa pia kama watakatifu.
Mstari 18:
Ambrosi aliendelea na ugavana hadi mwaka [[374]] alipochaguliwa askofu wa Milano.
 
Ni kwamba, baada ya kifo cha askofu [[Auxentius wa Milano]] aliyefuata [[uzushi]] wa [[AriosArio]], Ambrosi alikuwa amefika kanisani ili kutuliza ghasia kati ya [[WaariosWaario]] na [[Wakatoliki]]. Lakini alipohutubia umati, akashangiliwa na pande zote mbili, "Ambrosi, askofu! Ambrosi askofu!". Alitaka kukataa, kwa kuwa hata hajabatizwa, lakini hatimaye alikubali.
 
Alipewa mara [[ubatizo]], [[kipaimara]] na [[ekaristi]], halafu baada ya wiki moja [[daraja takatifu]] ya [[uaskofu]] (tarehe 7 Desemba, ambayo imekuwa sikukuu yake hadi leo) akatoa kwa [[Kanisa]] na ma[[fukara]] [[dhahabu]] na [[fedha]] zake zote.
Mstari 27:
Kama askofu, zaidi ya [[useja]] wake, alishika juhudi za kitawa, alisaidia mafukara kwa mali zake karibu zote, akajitahidi kupata elimu ya [[Biblia]] na [[teolojia]] akaitumia vema katika kuhubiri, akifafanua kwa upana na udhati [[Biblia ya Kikristo|maandiko matakatifu]] [[tafakuri|aliyoyatafakari]] kwanza.
Mwenye [[nguvu]] na [[udumifu]], pamoja na [[kipawa]] cha kuhisi nini inawezekanika, aliweza kuongoza vizuri ajabu kama [[mchungaji]] halisi, mwenye msimamo na [[busara]], na hasa [[wema]] na [[upendo]]. Hivyo hakufukuza [[wakleri]] waliofuata mafundisho ya [[AriosArio]].
 
Mwaka [[378]] alikutana na [[kaisari Grasyano]], aliyemuomba afundishweamfundishe [[imani]] kinyume na mafundisho ya AriosArio. Baadaye [[kaisari]] huyo alizidi kusimama upande wa [[Wakatoliki]] akatoa hati dhidi ya [[wazushi]] ([[22 Aprili]] [[380]]), halafu akaieneza kwa [[Wapagani]], akiwaondolea [[fadhili]] zao za awali.
 
Mwaka uliofuata wote wawili walishiriki [[mtagusoMtaguso wa Aquileia]] ili kuimarisha [[imani sahihi]] katika [[dola]].
 
Baada ya Grasyano kuuawa ([[383]]), ilimbidi azidi kupambana na wafuasi wa AriosArio, mmojawao [[kaisari Masimo]] aliyedai awaachie makanisa mawili ya Milano, lakini Ambrosi alikataa katakata, akisema,
"Ukinitaka mwenyewe, niko tayari kutii: unipeleke gerezani au kifoni, sitapinga; lakini sitasaliti kamwe [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]]. Sitaita watu kunisaidia; nitakufa kwenye [[altare]] lakini si kuikimbia. Sitahimiza watu kupiga kelele: lakini [[Mungu]] tu anaweza kuwatuliza". Hivyo alihamia pamoja na wafuasi wake [[basilika]] lililogombaniwa wakaendelea kulitumia [[usiku]] na [[mchana]]. Kadiri ya Augustino, ndiyo mwanzo wa nyimbo za Ambrosi.
 
Mstari 46:
Msimamo wake ulibaki kielelezo kwa [[Kanisa la magharibi]] hata likaendelea kudai [[uhuru]] na mara nyingi kushindana na [[mamlaka]] za [[serikali]] zisizotenda [[haki]].
 
Ambrosi alipaswa pia kupambana dhidi yana [[Wapagani]] waliotaka kufanya tena [[dini]] ya jadi kuwa [[dini rasmi]] ya [[Dola la Roma]] badala ya Ukristo. Alifaulu kumfanya Theodosius I kutoaatoe hati zake maarufu za mwaka [[391]].
 
Mtume wa upendo, alisaidia yeyote aliyemkimbilia, hata akauza [[vyombo vya ibada]] ili kukomboa [[watumwa]], akisema, “Ikiwa Kanisa lina dhahabu, si kwa ajili ya kuitunza, bali ili liwape wanaohitaji”.
Mstari 59:
Ambrosi aliandika sana, ingawa si vitabu vyake vyote vimetufikia: vilikuwepo ishirini hivi vya [[ufafanuzi]] wa Biblia na vingine juu ya mafumbo ya imani na juu ya [[maadili]]. Tunazo pia [[hotuba]] za [[mazishi]], [[barua]], ma[[shairi]] na [[tenzi]] hasa kwa ajili ya [[liturujia]].
 
Kwa jumla maandishi yake ni ya kichungaji kuliko ya kinadharia, pia kutokana na jinsi alivyopata uaskofu ghafla. Alijaribu kuziba pengo la ujuzi wa ki[[teolojia]], lakini bila ya mafanikio makubwa. Ndiyo sababu anategemea sana [[babu wa Kanisa|mababu]] waliomtangulia.
 
Kuhusu [[Kristo]], anatofautisha ndani yake hali mbili na vilevile [[utashi]] wa Kimungu na ule wa kibinadamu.