Jeromu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Michelangelo Caravaggio 057.jpg|thumb|250px|''Mt. Jeromu'' alivyochorwa na [[Caravaggio]].]]
 
'''Jeromu''' au '''Yeronimo''' ([[Strido]], leo nchini [[Croatia|Korasya]] [[347]] - [[Bethlehemu]], [[Israeli]], [[420]]) alikuwa [[padri]], [[mmonaki]] na mtaalamu wa [[Biblia]], aliyemudu vizuri [[lugha]] zote za kitabu hicho pamoja na [[Kilatini]] hata akawa mwandishi bora wa lugha hiyo kati ya ma[[babu wa Kanisa]].
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], [[babu wa Kanisa]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila tarehe [[30 Septemba]].
 
== Maisha ==
Alizaliwa mwaka [[347]] huko [[Strido]], sehemu za [[Dalmazia]] (leo [[Croatia|Korasya]]).
 
Alisomea [[Roma]] miaka ya [[360]] - [[367]], akijipatia [[elimu]] ya hali ya juu, aliyoiendeleza maisha yake yote, hata kwa [[safari]] nyingi [[magharibi]] na [[mashariki]] zilizomwezesha kufahamiana na watu wengi maarufu.
 
[[Ubatizo|Alibatizwa]] huko Roma akiwa na umri wa miaka 25, akaendelea maishamoja yotekwa moja kupambana kiume na [[tabia]] yake ngumu iliyochanganya [[ukali]] na wepesi wa kulia [[machozi]], [[unyofu]] na elekeo la [[kinyongo]], maisha magumu na [[hisia kali]], [[uadilifu]] na [[hamaki]], [[hisani]] na [[uchungu]] wa maneno.
 
Akishika [[kazi]], [[saumu]], [[sala]] na ma[[kesha]], alivuta wengi kumfuata [[Kristo]] kwa karibu zaidi.
Mstari 49:
 
=== Maandishi kwa Kilatini ===
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/20_40_0347-0420-_Hieronymus,_Sanctus.html Maandishi yake yote katika [[Patrologia Latina]] ya [[Migne]] pamoja na [[faharasa]]]
* [http://www.fourthcentury.com/index.php/jerome-chart Chronological list of Jerome's Works with modern editions and translations cited]
* [http://www.documentacatholicaomnia.eu/20_40_0347-0420-_Hieronymus,_Sanctus.html ''Opera Omnia'' (CompleteMaandishi WorksYote) from Migne edition (''Patrologia Latina'', 1844-1855) with analytical indexes, almost complete online edition]
==== Google Books' Facsimiles ====
* [http://books.google.com/books?vid=OCLC12663742&id=o0MGQ5XJihYC&pg=PP347&lpg=PP347#PPA11,M1 Migne volume 23 part 1 (1883 edition)]