Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5043 (translate me)
No edit summary
Mstari 3:
'''Ukristo''' ni [[dini]] inayomwamini [[Mungu]] pekee kama alivyofunuliwa na [[Yesu Kristo]], mwanzilishi wake.
 
Dini hiyo, iliyotokana na ile ya [[Wayahudi]], inayolengainalenga kuenea kwa [[binadamu]] wote, na kwa sasa ni kuu kuliko zote duniani, ikiwa na wafuasi zaidi ya bilioni mbili.
 
[[Kitabu]] chake kitakatifu kinajulikana kama [[Biblia ya Kikristo|Biblia]]. Ndani yake inategemea hasa [[Injili]] na vitabu vingine vya [[Agano Jipya]].
 
== Asili ==
Chimbuko la Ukristo ni kuwepo kwa mtu aliyezaliwa takriban miaka 2000 iliyopita huko [[Mashariki ya Kati]], katika [[kijiji]] cha [[Bethlehemu]] kilichopo hadi hivi leo kwenye mipaka ya [[Palestina]], naye alikuwa akiitwa [[Yesu]] wa [[Nazareti]] au mwana wa [[Yosefu (mume wa Maria)|Yosefu]] mchonga samani; [[mama]] yake akifahamika kwa jina la [[Bikira Maria]].
 
=== Masiya Yesu ===
Ukristo ni matokeo ya [[utume]] wa Yesu, uliopokewa na waliomwamini kuwa ndiye [[Masiya]], yaani Mpakwamafuta ([[Kristo]] kwa [[Kigiriki]]), [[mkombozi]] aliyetimiliza ahadi za Mungu kwa uzao wa [[Abrahamu]].
 
[[Utabiri]] wa kuja kwake ulianzia katika [[bustani]] ya [[Edeni]] pale Mungu alipomwambia mwanamke "uzao wako utamponda kichwa" nyoka, yaani shetani ([[Mwa]] 3:15).
 
[[Musa]], mwanamapinduzi aliyewakomboa watu wa Israeli kutoka utumwani [[Misri]] takribani miaka 1250 [[KK|kabla ya kuzaliwa kwa Yesu]], ndiye [[nabii]] wa kwanza kutabiri wazi ujio wa Masiya au Kristo (Kumbukumbu la Torati[[Kumb]] 18:15-22, hususan mstari 18: "Nitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zenu; na nitatia neno langu kinywani mwake na atasema nao yote niliyomwamuru."
 
Kuja kwake kulitimia katika Agano Jipya, ambalo ni ukamilifu wa yote yaliyotabiriwa katika [[Agano la Kale]]. Kwani Musa alitumwa kuanzisha Agano la Kale kama maandalizi ya Agano Jipya, akikabidhi mifumo mingi ya nje na ndani kwa watawala na waamuzi waliomfuatia watakaoshikilia Agano la kusubiri Masiya wakishirikiana na ma[[nabii]] na ma[[kuhani]].
 
Yesu alizaliwa miaka kama 1800 baada ya Abrahamu. Vitabu vya [[Injili]] vinaeleza matukio na mafundisho ya Yesu ambayo ndiyo mwongozo wa [[imani]] hiyo. Maisha na kazi ya Yesu yameibua mambo mengi katika [[historia]]. Ndiyo sababu [[kalenda]] iliyoenea duniani huhesabu miaka kutoka ujio wake; huu ni mchango mmojawapo wa Ukristo.
 
=== Mafundisho ya msingi ya Yesu ===
Mstari 25:
[[Picha:Bloch-SermonOnTheMount.jpg|thumb|300px|'''Hotuba ya Mlimani''' na [[Carl Heinrich Bloch]]. [[Hotuba ya Mlimani]] inachukulika na Wakristo kuwa utimilifu wa [[Torati]] iliyotolewa na [[Musa]] katika [[Mlima Sinai]].]]
 
Yesu alifanya ishara za kustaajabisha, au [[miujiza]]. Matokeo ni kwamba, watu wengi wakamwamini. [[Nikodemu]], mshiriki mmojawapo wa baraza la [[Sanhedrini]], ambayo ilikuwa pia [[mahakama kuu]] ya Kiyahudi, alivutiwa na kutaka kujua zaidi kuhusu siri ya miujiza hiyo na ujumbe kutoka kwa Mungu; kwani yeye alihamasika kuona ishara zile kutoka kwa Mungu.
Yesu akamjibu kwamba hakika mtu hawezi kuingia [[ufalme wa Mungu]] asipozaliwa mara ya pili kwa [[maji]] na [[Roho Mtakatifu]].
Pia akajieleza kuwa [[mpatanishi]] wa [[ulimwengu]] wa [[dhambi]] na Mungu na kwamba kila anayemgeukia kwa imani hatapotea, bali atarithi [[uzima wa milele]]: Kristo ni mfano wa [[nyoka wa shaba]] aliyetengenezwa na Musa. (Yohana[[Yoh]] 2:23-3:21; Hesabu[[Hes]] 21:9).
 
Akiwa akitembea kando ya [[Ziwa la Galilaya]], Yesu alikuta [[umati]] wa watu umekusanyika. Basi akapanda [[mashua]] na kuenda mbali kidogo na ufuoni, akaanza kuwafundisha kuhusu [[Ufalme wa Mbingumbinguni]] kupitia mfululizo wa mifano.
Mmojawapo ni hilihuu lifuataloufuatao: '' "Ufalme wa Mbingu ''mbinguni ni kama punje ya [[haradali]] ambayo mtu anaipanda. Ingawa ni [[mbegu]] ndogo sana inakua na kuwa [[mti]] wa [[mboga]] kubwamkubwa kuliko yote. Inakua mti ambao [[ndege]] wanauendea, wakipata makao katika matawi yake". (Mathayo[[Math]] 13:1-52; Marko[[Mk]] 4:1-34; Luka[[Lk]] 8:4-18; Zaburi[[Zab]] 78:2; Isaya[[Isa]] 6:9,10).
 
=== Maana ya Kristo ===
Mstari 42:
wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,
mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.''<p>
Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho, maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuaye ila Roho wa Mungu. Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua yaliyokirimiwa na Mungu. Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamnu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu, Maana, <p> ''Ni nani aliyefahamu nia ya Bwana, amwelimishe?'' <p> Lakini sisi tunayo nia ya Kristo. (1 Wakorintho[[1Kor]] 2:6-16).
 
</blockquote>
Mstari 48:
== Kanisa siku za mwanzo ==
 
Jumuia ya Wakristo inaitwa [[Kanisa]], lililotajwa na Yesu mwenyewe hasa katika Mathayo 16:18:-
 
<blockquote>
Mstari 57:
''' '' Ujio wa [[Roho Mtakatifu]]'' '''
 
Mara baada ya Yesu kwenda zake katika tukio linalotajwa kupaa kwake mbinguni, wafuasi wake wakarudi [[Yerusalemu]], yapata mwendo wa [[sabato]], na walipoingia huko, wakapanda ghorofani walipokuwa wakikaa [[Mtume Petro]] na [[Mitume wa Yesu|wenzake]].
Hata ilipotimia siku ya [[Pentekoste]] walikuwapo wote mahali pamoja. Ukaja [[upepo]] toka juu kama upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. Kukatokea na ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. Wote wakajazwa na rohoRoho mtakatifuMtakatifu, wakaanza kusema kwa [[lugha]] nyingine, kama Roho alivyo wajaliaalivyowajalia. (Matendo ya Mitume[[Mdo]] 1:12-14, 2:1-4).
 
Hii ilifuatiwa na Petro na wenzake kuanza kuhububiri [[ufufuko]] wa [[Bwana]] Yesu na hatimaye kugusa wengi. (Matendo ya MitumeMdo 2: 37-40).
 
 
''' ''Ustawi wa Jumuia ya kwanza ya wafuasi wa Kristo'' '''
 
Na watuWatu walipokuwa wakidumu katika fundisho la mitume, na katika [[ushirika]] na matendo mengine;, wengi wakaona ishara nyingi basi nao wakauza [[mali]] zao, na vitu walivyokuwa navyowalivyokuwanavyo, na kugawia watu wote kama kila mtu alivyokuwa na haja. Na siku zote kwa moyo mmoja walidumu ndani ya [[hekalu]], wakila pamoja na kushiriki kwa moyo mweupe.
 
Hivyo ndivyo jumuia ilivyozaliwa na kufahamika kama Kanisa. (Matendo ya MitumeMdo 2:42-47).
 
Kukutanika na kushiriki mafumboma[[fumbo]] makuu, kushukuru na kusifu, pamoja na uwepo wa [[vipaji vya Roho Mtakatifu|vipaji]] na [[karama]] za Roho Mtakatifu, hufanya Kanisa liwe hai.
 
[[Picha:PaulT.jpg|thumb|right|[[Mtume Paulo]], akiandika waraka.]]
 
[[Mitume wa Yesu]] walienea toka [[Yerusalemu]] hata [[Lida]], [[Yafa]], [[Kaisaria]], [[Damasko]] n.k. na kuanzisha jumuia nyingi. Nazo jumuia kwa bidii za waamini wa mwanzo zikafika [[Foinike]], [[Kipro]], [[Antiokia]], ambako waliitwa Wakristo kwa mara ya kwanza, kutokana na waamini wa mataifa mengine kuwazidi wale wenye asili ya Kiyahudi (MatendoMdo 11:1-23).
 
Imani na desturi za mikusanyiko hiyo zilitapakaa na hivyo kuanza kusuguana na mapokeo ya jamii mbalimbali zilipopenya. Hii inatokana na ukweli kwamba watu wengi wa siku zile tayari walikuwa na imani zao walizokuwa wakizitunza. Basi ukaja wakati ambao Wakristo wakaanza kukosoana kuhusu dhamira zao na huduma. Ndiyo asili ya nyaraka mbalimbali ambazo zinaunda sehemu muhimu wa Agano Jipya.
 
Imani na desturi za mikusanyiko hiyo zilitapakaa na hivyo kuanza kusuguana na mapokeo ya jamii mbalimbali zilipopenya. Hii inatokana na ukweli kwamba watu wengi wa siku zile tayari walikuwa na imani zao walizokuwa wakizitunza. Basi ukaja wakati ambao Wakristo wakaanza kukosoana kuhusu dhamira[[dhamiri]] zao na [[huduma]]. Ndiyo asili ya [[nyaraka]] mbalimbali ambazo zinaunda sehemu muhimu wa Agano Jipya.
 
=== Mafundisho toka Kanisa la Mitume ===