Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 125:
== Mafarakano makuu kati ya Wakristo ==
[[Picha:BranchesofChristianity.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
Katika historia ndefu ya Ukristo, yalitokea mafarakano mengi, waamini wa Yesu wakizidi kutofautiana. Makundi makubwa zaidi ni: [[Kanisa Katoliki]], Makanisa ya [[Waorthodoksi]] na ya [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]].
 
=== Wakatoliki ===
Zaidi ya nusu ya Wakristo wote wanashikamana katika [[imani]] na [[sakramenti]] chini ya ma[[askofu]] wenye [[ushirika kamili]] na yule wa [[Roma]], ambaye kwa kawaida anaitwa [[papa]]. Kati yao [[umoja]] unazingatiwa sana.
 
=== Waorthodoksi na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] ===
Mstari 134:
 
=== Waprotestanti ===
Utitiri wa madhehebu ya Kiprotestanti ndio wenye tofauti kubwa zaidi kati yao wenyewe na kati yao na Wakristo waliotajwa kwanza. Hiyo ilitokana na msimamo wa msingi wa [[urekebisho wa Kiprotestanti]] wa kutaka kila mmoja aweze kutafsiri [[Biblia]] alivyoielewa, bila ya kutegemea mapokeo wala [[mamlaka]] rasmi ya Kanisa.
 
== Kanisa leo ==