Mlei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mlei''' ni jina la kisheria la Mkristo wa kawaida, yaani yule asiye na daraja takatifu wala si mtawa. Msingi wa hadhi, wajibu na haki zake ni ...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Fichier:Lectio divina-2.jpg|thumb|250px|Mlei [[mwanamke]] akisoma [[Biblia]].]]
'''Mlei''' ni jina la kisheria la [[Mkristo]] wa kawaida, yaani yule asiye na [[daraja takatifu]] wala si [[mtawa]].
 
Msingi wa hadhi, wajibu na haki zake ni [[sakramenti]] ya [[Ubatizo]] pamoja na [[Kipaimara]] na [[Ekaristi]].
 
[[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] ulitoa hati maalumu kuhusu [[utume wa walei]], "[[Apostolicam Actuositatem]]".
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
== Marejeo ==
* [[Alexandre Faivre]], ''Chrétiens et Églises : des identités en construction''. Acteurs, structures, frontières du champ religieux chrétien, Paris, Cerf-Histoire, 2011, (klèros/laïkos. Deux ensembles flous à l'origine d'une dichotomie mutuellement exclusive, p. 243-311)
 
[[Jamii:Ukristo]]
 
[[cs:Laik]]
[[en:Layperson]]
[[es:Lego (no profesional)]]
[[fi:Maallikko]]
[[fr:Laic]]
[[it:Laico]]
[[sv:Lekman]]