Mlei : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[
'''Mlei''' ni jina la kisheria la [[Mkristo]] wa kawaida, yaani yule asiye na [[daraja takatifu]] wala si [[mtawa]].
Jina hilo linatokana na neno la [[Kigiriki]] λαϊκός (laikós, "mmoja wa umma"), ambalo shina lake ni λαός (laós, "umma").
Msingi wa hadhi, wajibu na haki zake ni [[sakramenti]] ya [[Ubatizo]] pamoja na [[Kipaimara]] na [[Ekaristi]].
|