Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sainta15.jpg|thumb|300px|right|[[Picha takatifu]] ya [[Atanasi wa Aleksandria]], [[Askofu mkuu]] ([[Patriarki]]) wa [[Aleksandria]] na mtetezi mkuu wa [[umungu]] wa [[Yesu Kristo]].]]
[[Picha:StAthanasiusShrineinStMarkCathedralCairo.jpg|thumb|right|[[Patakatifu]] pa Atanasi panapotunza [[masalia]] yake chini ya [[kanisa kuu]] la [[Mtakatifu Marko]] huko [[Kairo]] (Misri).]]
'''Atanasi wa Aleksandria''' anayeitwa ''Mkuu'' ([[Aleksandria]], [[Misri]], [[295]] hivi - [[Aleksandria]], [[2 Mei]] [[373]]) alikuwa [[Patriarki]] wa [[Kanisa Katoliki]] la [[madhehebu]] ya [[Misri]] na ndiye aliyetetea kuliko wote [[imani sahihi]] ya [[Kanisa]] kati ya [[mtaguso mkuu|mitaguso mikuu]] miwili ya kwanza.
 
Kwa mafundisho yake na kwa upendo wake motomoto kwa Kristo, anaheshimiwa na Wakatoliki, [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]] na mmojawapo kati ya ma[[babu wa Kanisa]] walio muhimu zaidi. Anakumbukwa pia katika kalenda ya [[Waanglikana]] na [[Walutheri]]. Wakatoliki walimuongezea sifa ya [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Wote wanaadhimisha [[sikukuu]] yake kila mwaka tarehe [[2 Mei]].
 
== Maisha ==
Mstari 13:
Alikulia katika [[jiji]] hilo, ambalo wakati huo lilikuwa likiongoza kimataifa upande wa [[biashara]], [[ustaarabu]] na [[elimu]].
 
Tangu ujanani alihusiana na wamonaki wa jangwa la Tebais, nahalafu miaka 356-362 aliishi [[monasterini]].
Upande wa dini, baada ya dhuluma za serikali ya Dola la Roma kwisha, Wakristo wa Misri walikuwa na [[chuo]] muhimu cha [[katekesi]], lakini kulikuwa pia na maelekeo ya hatari, hasa wafuasi wengi wa [[Gnosi]], mbali na wale wa [[dini za jadi]] zilizoabudu [[miungu]] mingi.