Isidori wa Sevilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Isidor von Sevilla.jpeg|thumb|200px|right|Isidori wa Sevilia alivyochorwa na [[Bartolomé Esteban Murillo]].]]
[[Picha:Isidoro de Sevilla (José Alcoverro) 02.jpg|thumb|200px|right|Sanamu ya Isidori huko [[Madrid]] ([[1892]]), iliyochongwa na [[José Alcoverro|J. Alcoverro]].]]
'''Isidori''' ([[Cartagena]], leo nchini [[Hispania]], [[560]] - [[Sevilia]], Hispania, [[4 Aprili]] [[636]]) alikuwa [[askofu mkuu]] wa Sevilia, Hispaniamaarufu kwa [[elimu]] yake kubwa aliyowarithisha hasa watu wa [[Ulaya magharibi]] wa [[Karne za Kati]].
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], [[babu wa Kanisa]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
Mstari 7:
Ni msimamizi wa [[mtandao]] na wa [[wanafunzi]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Aprili.
 
== Maisha ==
Alizaliwa na Severianus na Turtura huko [[Cartagena (Hispania)]], akiwa wa nne kati ya watoto watano, ambao wanne kati yao wanaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama watakatifu: [[Leandro wa Sevilia]], Fulgensi, [[Fiorentina wa Cartagena]] naye mwenyewe. Kati yao, wawili wa kwanzawatatu walikuwa maaskofu, na wa mwishokike alikuwa [[mtawa]].
 
Kaka yake, Leandro, ndiye aliyemlea baada ya kifo cha baba yao.
Mstari 18:
Alishika nafasi ya maana katika matukio ya nchi yake wakati huo ilipotawaliwa na [[kabila]] la Kijerumani la [[Wavisigoti]], ambao aliwavuta kutoka [[uzushi]] wa [[Ario]] kwenye imani ya [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] na ya [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]].
 
Alishiriki [[mtagusoMtaguso IV wa Toledo]] ([[633]]) uliolenga kuunganisha [[Liturujia ya Toledo|liturujia maalumu ya Kihispania]]. Ndiye mwakilishi bora wa liturujia hiyo, aliyoirekebisha na kuistawisha.
 
Alipokaribia kufa, aliamua kupokea [[kitubio]] cha hadharani kadiri ya [[ibada]] aliyoitunga mwenyewe.