Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Alifazal"

 
Salaam, Ndugu {{PAGENAME}}! Nimeona juhudi zako kadha wa kadha katika uanzishaji wa makala za madaraja barani Afrika. Binafsi, nimependezewa! Je, umefikiria labda kupanua maandishi zaidi badala ya kuandaa mbegu? Yaani, makala fupifupi tu? Ni wazo tu. Toa fikra zako kadiri uwezevyo kisha nione nitasaidia vipi katika hili. Wako Muddyb au,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 08:11, 2 Mei 2013 (UTC)
 
:Hivi ujumbe wangu umeuona? Au labda hujanisoma niandike kwa Kiingereza?--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 14:11, 2 Mei 2013 (UTC)