Wanilamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 33:
•Mnyadintima: Hawa wanapatikana Mwangeza na
•Mnyasoha: Waishio Mkalama
 
Ndugu msomaji wa Ohayoda, yapo mengi sana usiyoyafahamu kuhusu makabila haya mawili yenye historia inayofanana na japo wanaishi pamoja na watu wengi kudhani ni kabila moja, wanatofauti kubwa sana hasa za tabia na mambo mengine kedekede. Katika Makala zijazo tutakujuza mengi hasa Lugha, Mofolojia/miili (Morphology), mavazi, tabia, miiko, matambiko, umiliki wa mali na chakula.