Thomas Aquinas Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
[[Picha:St-thomas-aquinas.jpg|thumb|right|250px|Mchoro wake uliofanywa na [[Carlo Crivelli]]]]
[[Picha:SummaTheologiae.jpg|right|thumb|200px|Ukurasa wa ''Summa theologiae'']]
'''Mtakatifu Thomas Aquinas'''
Mnyofu, mkimya, aliyekuwa tayari kutumikia, kiutu alipendwa na wote, naye alipendelea watu wa chini, akihubiria
Kuliko wengine wote, Thoma aliona [[elimu]] na masomo kama njia ya kufikia [[utakatifu]]; ni kati ya watu bora upande wa [[nadharia]], hasa wa [[teolojia ya shule]], iliyofikia kilele chake katikati ya [[karne XIII]].
Masalia yake yanatunzwa katika konventi ya [[Wadominiko]] ''des Jacobins'' huko [[Tolosa]] ([[Ufaransa]]).▼
Mwanafunzi wa [[Alberto Mkuu]], alitumia hasa mawazo ya [[mwanafalsafa]] wa [[Ugiriki]] [[Aristoteli]] na ya [[Waarabu]] waliomtafsiri, lakini pia ya [[Plato]]: ili kufafanua [[imani]], alikubali [[ukweli]] ulioweza kutolewa na yeyote, kwa sababu kweli zote zinatoka kwa [[Mungu]]; kinyume chake alikanusha udanganyifu wowote.
Hivyo aliweza kufanya [[usanisi]] mpana ambao mpaka leo [[Kanisa Katoliki]] linautambua kama tokeo bora
Anajulikana hasa kwa vitabu vyake “Jumla ya Teolojia” (kwa [[Kilatini]] ''[[Summa theologiae]]'') na “Jumla dhidi ya Wapagani” (kwa Kilatini ''[[Summa contra gentiles]]'').
Alitangazwa na [[Papa Yohane XXII]] kuwa [[mtakatifu]] tarehe [[18 Julai]] [[1323]], halafu na [[Papa Pius V]] kuwa [[mwalimu wa Kanisa]] mwaka [[1567]]. Kwa Kilatini anaitwa ''Doctor Angelicus'' (''Mwalimu wa Kimalaika'') au ''Doctor Communis'' (''Mwalimu wa wote'').
▲Mnyofu, mkimya, aliyekuwa tayari kutumikia, kiutu alipendwa na wote, naye alipendelea watu wa chini, akihubiria ma[[fukara] kwa [[usahili]] na [[wema]] hata zaidi ya mara moja kwa siku.
Ni [[msimamizi]] wa [[wanateolojia]], [[wanachuo]], watoaji na wauzaji wa vitabu, [[wanafunzi]] na [[shule]].
[[Sikukuu]] yake
== Maisha ==
Line 43 ⟶ 41:
Wakati huo Thoma alipinga falsafa ya wafuasi wa [[Mwarabu]] [[Averroe]] waliosema [[imani]] haiwezi kupatana na [[akili]]: "Imani ni kwa watu wanyofu, falsafa ni kwa wasomi".
Thoma alipambana pia na [[Waagustino]] ambao walifuata falsafa ya [[Plato]]
Mwaka [[1259]] alirudi Italia na kushirikiana na [[Papa Urbano IV]], akiishi kwenye konventi ya [[Orvieto]]. Kwa agizo lake, Thoma alitunga au kupanga matini ya [[liturujia]] yote ya sikukuu mpya ya ''[[Corpus Domini]]'' ([[Mwili na Damu ya Kristo]]) iliyoanzishwa tarehe [[8 Septemba]] [[1264]]. Kati ya matini hayo, maarufu zaidi kimataifa mpaka leo ni utenzi ''[[Pange Lingua]]'', hasa sehemu ya mwisho inayoanzia na maneno ''[[Tantum Ergo]]'' (''Sakramenti Kubwa Hiyo'').
Halafu alihamia Roma ili kupanga [[kozi]] za [[chuo]] cha [[
Akiwa Italia ndipo alipoandika vitabu vingi kama vile ''Summa contra gentiles'', ''De regimine principium'', ''De unitate intellectus contra Averroistas'' na sehemu kubwa ya kazi yake bora, ''[[Summa Theologiae]]'', inayotumika hadi leo katika [[teolojia]].
Line 55 ⟶ 53:
Mwaka [[1272]], akiitwa na mfalme [[Karolo I wa Angiò]], alirudi Napoli na kupanga upya masomo ya teolojia kwenye chuo kikuu karibu na konventi yake asili.
Tarehe [[6 Desemba]] [[1273]], katika kanisa la [[San Domenico Maggiore]], alitoka nje ya nafsi yake na tangu siku hiyo aliacha kuandika, akimueleza ndugu [[Reginaldo
Ndiyo sababu ''Summa Theologiae''
Mnamo Januari [[1274]] [[Papa Gregori X]] alimuagiza ashiriki [[Mtaguso wa pili wa Lyon]], na Thoma akafunga safari
▲Ndiyo sababu ''Summa Theologiae'' haikukamlika (inaishia kwenye mada ''De Poenitentia'', yaani ya [[Kitubio]]).
Alilazimika kusimama kwenye ngome ya [[Maenza]], lakini alipoona hali inazidi kuwa mbaya asiweze kufikia konventi ya shirika, akitaka kufia [[monasteri]]ni, aliagiza aletwe kwenye [[abasia]] ya [[Waciteaux]] ya Fossa Nuova (leo [[Fossanova]], karibu na [[Priverno
▲Mnamo Januari [[1274]] [[Papa Gregori X]] alimuagiza ashiriki [[Mtaguso wa pili wa Lyon]], na Thoma akafunga safari, ingawa hali yake haikuwa nzuri.
▲Masalia yake yanatunzwa katika konventi ya
▲Alilazimika kusimama kwenye ngome ya [[Maenza]], lakini alipoona hali inazidi kuwa mbaya asiweze kufikia konventi ya shirika, akitaka kufia [[monasteri]]ni, aliagiza aletwe kwenye [[abasia]] ya [[Waciteaux]] ya Fossa Nuova (leo [[Fossanova]], karibu na [[Priverno]], wilaya ya [[Latina]]), ambapo alifariki baada ya wiki chache.
==Sala yake==
|