Bud Spencer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 49:
Filamu nyingi za aina hii zilikuwa na majina mawilimawili, maana ilikuwa inategemea na nchi yenyewe au msambazji mwenyewe vile apendavyo. Baadhi zilitolewa katika muundo wa lugha ya [[Italia|kitaliano]] na kubadilishwa au kutafsriwa kwa lengo la kwenda kuuza nchi za nje. Filamu za namna hiyo zilileta mkusanyiko mkubwa wa wagizaji wa filamu kutoka nchi mbalimbali hasa zile nchi za [[ulaya]]. Kwa mujibu wa IMDB wanasema kwamba waigizaji hao wa [[Italiano|kitaliano]] na ambao sio wa [[Italia|kitaliano]] wametengeneza takribani filamu 19. Hizo filamu zilizodi (Mbali na zilizorodheshwa hapo juu) Upo uwezekano mkubwa wa kuwa na matoleo mawili ya kijerumani ya filamu ya "God Forgives... I Don't!" na "Boot Hill" ambayo ilimalizaliwa kabisa, kukata baadhi ya vipande na kuweka jina jipya ili iweze kusukumwa na haraka sokoni.
 
 
==Shughuli za Mwanzo==
 
==Filamu alimocheza==