Katerina wa Siena : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Domenico Beccafumi 025.jpg|250px|thumb|''[[Madonda matakatifu]] ya Katerina wa Siena'' yalivyochorwa na [[Domenico Beccafumi]], mwaka [[1515]] hivi]]
 
'''Katerina Benincasa wa Siena''' ([[Siena]], [[Italia]], [[25 Machi]] [[1347]] - [[Roma]], Italia, [[29 Aprili]] [[1380]]) alikuwa [[mwanamke]] mwenye vipaji na [[karama]] za pekee aliyemfuata tangu ujanani [[Yesu Kristo]] katika [[familia ya kiroho]]iliyoanzishwa na [[Dominiko Guzman]].
alikuwa [[mwanamke]] mwenye vipaji na [[karama]] za pekee aliyemfuata tangu ujanani [[Yesu Kristo]] katika [[familia ya kiroho]]iliyoanzishwa na [[Dominiko Guzman]].
 
Anaheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] [[bikira]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Kutokana na umuhimu wake katika [[historia ya Kanisa]] na ya [[jamii]] ni [[msimamizi]] (pamoja na wengine) wa [[Italia]] (kwa uamuzi wa [[Papa Pius XII]] mwaka [[1939]]) na wa [[Ulaya]] (kwa uamuzi wa [[Papa Yohane Paulo II]] mwaka [[1999]]).
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Aprili.
 
== Maisha ==
=== Utoto ===
Katerina alizaliwa [[Siena]] (Italia) kama mtoto wa 24 kati ya 25 wa Jacopo Benincasa, na Lapa Piagenti (au Piacenti). Pacha wake Giovanna (kitindamimba) aliishi miezi tu.
 
Mwaka uliofuata ([[1348]]) Siena na Ulaya kwa jumla zilipatwa na [[tauni]] iliyopunguza sana idadi ya watu.
Line 16 ⟶ 17:
Alisimulia kwamba alipokuwa na miaka sita alianza kupata [[njozi]] na akiwa na miaka saba aliweka [[nadhiri]] ya [[ubikira]] akianza safari ya [[toba]] yenye [[saumu]] na [[malipizi]] mengine.
 
Kwenye umri wa miaka 12 wazazi, wasiojua nadhiri yake, walianza kufikiria wamuoze. Katerina aliitikia kinyume, hata kwa kunyoa kipara na kujifungia nyumbani. Ili kumshurutisha wazazi walimuagiza kazi nzito nyingi, lakini bure. Siku moja baba alimkuta akisali ana njiwa akielea kichwani pake. Hapo alikubali kumuacha huru ajichagulie maisha.
 
=== Kujiunga na [[Wadominiko]] ===
 
Alipokuwa na miaka 16 alijiunga na [[Utawa wa Tatu wa Mt. Dominiko]] na kushika maisha magumu bila ya kuhama nyumbani. Kandokando yake walikusanyika marafiki wengi kama kundi la wanafunzi wake wa kiroho.
 
Alijaribu kusoma vitabu vitakatifu bila ya kufundishwa, mpaka akajaliwa kipawa cha kusoma. Baadaye tena akajaliwa kuandika, lakini maandishi yake mengi aliyaandikisha tu. Humo tunakuta mafundisho ya hali ya juu, iliyojaa matunda ya [[sala]] yake ya dhati.
 
Katika kipindi hicho cha vurugu tele, alituma mara nyingi ujumbe wake wa [[amani]] kwa miji na makundi yaliyogombana, akilenga daima [[upendo]] na [[umoja]].
Line 39 ⟶ 40:
Baada ya majaribio mengi, hatimaye alifaulu katika juhudi kuu ya maisha yake: tarehe [[17 Januari]] [[1377]] Papa alihamia Roma.
 
Mwanzoni mwa [[1378]] aliagizwa kupatanisha [[Ukulu mtakatifu]] na mji wa Firenze.
 
Lakini tarehe [[20 Septemba]] wa mwaka huohuo, huko [[Fondi]], lilianza [[Farakano la magharibi]] litakalodumuambalo lilimsikitisha sana likadumu miaka 40 kwa madhara makubwa.
 
Alifariki akiwa na miaka 33 tu, baada ya kushindwa muda mrefu kula na kunywa mudachochote mrefuisipokuwa [[Ekaristi]] kutokana na njozi ya [[Yesu Kristo]] aliyemjalia kufyonza [[damu]] ubavuni mwake.
 
== Utukufu ==
 
Katerina da Siena alitangazwa na [[Papa Pius II]] kuwa mtakatifu mwaka [[1461]].
[[Papa Paulo VI]] alimtangaza [[mwalimu wa Kanisa]] tarehe [[4 Oktoba]] [[1970]].