Roberto Bellarmino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Wenceslas Hollar - Cardinal Bellarmin.jpg|thumb]]
 
Roberto Francesco Romolo Bellarmino ([[Montepulciano]], ([[wilaya]] ya [[Siena]] nchini [[Italia]], [[4 Oktoba]] [[1542]] - [[Roma]], [[Italia]], [[17 Septemba]] [[1621]]) alikuwa [[mtawa]] wa [[Shirika la Yesu]], halafu [[padri]], [[askofu]] na [[kardinali]] wa [[Kanisa Katoliki]].
 
Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[13 Mei]] [[1923]], [[mtakatifu]] tarehe [[29 Juni]] [[1930]] na [[mwalimu wa Kanisa]] tarehe [[17 Septemba]] [[1931]].
Mstari 43:
 
Miaka ya mwisho alitunga [[katekisimu]] (kubwa na ndogo) ambazo ziliathiriwa na mazingira ya mabishano kati ya [[madhehebu]] ya [[Ukristo|Kikristo]], na kuenea sana hadi mwisho wa [[karne XIX]]. Mchango wake huo katika malezi ya vizazi vipya vya Kikatoliki ulimstahilia sifa ya mwalimu wa Kanisa.
 
Alifariki Roma tarehe 17 Septemba 1621.
 
==Sala yake==
[[Picha:Roma-santignazio2.jpg|thumb|right|350px|Kaburi la Roberto Bellarmino ndani ya [[Kanisa la Mt. Ignas wa Loyola kwenye Campo Marzio]] huko Roma]]
 
Wewe, Bwana, u mwema, umekuwa tayari kusamehe,
Line 78 ⟶ 81:
 
== Maandishi ==
[[Picha:Roma-santignazio2.jpg|thumb|right|350px|Kaburi la Roberto Bellarmino ndani ya [[Kanisa la Mt. Ignas wa Loyola kwenye Campo Marzio]] huko Roma]]
 
[[Opera Omnia]] zilizokusudiwa kukusanya maandishi yake yote zilitolewa [[Cologne]] ([[1617]]), [[Venezia]] ([[1721]]), [[Napoli]] ([[1856]]), [[Paris]] (1870).