Teresa wa Mtoto Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:TeresadiLisieux.JPG|thumb|right|Picha ya Teresa akiwa amevaa [[kanzu]] na [[shela]] za Kikarmeli, 1895.]]
 
'''Teresa wa Mtoto Yesu na wa Uso Mtakatifu''' ([[Alençon]], [[Ufaransa]], [[2 Januari]] [[1873]] - [[Lisieux]], Ufaransa, [[30 Septemba]] [[1897]]) ni jina la kitawa la '''Thérèse Françoise Marie Martin''', maarufu pia kwa jina la '''Teresa wa Lisieux''', anayeheshimiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtakatifu]] mwenye sifa za [[bikira]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Tangu mwaka [[1927]] ni [[msimamizi]] wa [[wamisionari]] wote (pamoja na [[Fransisko Xavier]]), na tangu mwaka [[1944]] wa [[Ufaransa]] (pamoja na [[Yoana wa Arc]]).
Mstari 23:
Mwaka 1882, Paulina alipoingia [[monasteri]] ya [[Wakarmeli]] ya Lisieux, angetaka kumfuata, lakini hakuweza kutokana na umri wake mdogo. Zaidi tena alitaka kufanya hivyo Maria pia alipoingia monasteri hiyohiyo mwaka [[1886]].
 
Usiku wa [[Noeli]] iliyofuata, alishinda moja kwa moja [[huzuni]] yake iliyomfanya alielie daima. Alielewa anahitaji kumtafuta [[Mungu]] kwa [[ukomavu]] zaidi na kujipatia hivyo "Elimuelimu ya upendo".
 
Alipofikia umri wa miaka 14 Teresa alianza kupigania [[wito]] wake dhidi ya upinzani wa watu mbalimbali waliotaka kuahirisha hatua ya kujiunga na [[utawa]]. Kwa ajili hiyo alisafiri hadi [[Roma]] ili akaombe ruhusa ya [[Papa Leo XIII]], lakini alikataliwa kwa wema. Kitu hicho kilichomsikitishakilimsikitisha lakini bila kumhangaisha, akijuakwa sababu alijua amefanya kila aliloweza ili kuitikia wito wake mapema.
 
Wakati wa kurudi Ufaransa, [[askofu]] wake aliamua kubadili msimamo wake na kumruhusu. Hivyo tarehe 9 [[Aprili]] [[1888]] msichana Teresa alingiia [[Karmeli]], akiwa na miaka 15 tu. Ile tisa iliyofuata ikawa na [[maendeleo ya kiroho]] ya kasi ajabu.
 
Mwaka [[1893]] aliteuliwa kuwa mlezi msaidizi wa [[wanovisi]], kazi aliyofanya kwa bidii na ufanisi mkubwa. Baadaye kwa maandishi yake yaliyoenea upesi duniani kote akawa mlezi kwawa umati wa watu akiwaelekeza kufuata [[Heri Nane]] alizotangaza [[Yesu]] mlimani.
 
Mwaka [[1894]], baada ya [[ugonjwa]] wa muda mrefu, mzee Louis Martin alifariki, na binti yake mwingine, Selina, aliyekuwa anamtunza, aliweza kujiunga na monasteri hiyo. [[Kamera]] yake imetuachia [[picha]] halisi za Teresa.
Mstari 37:
Tarehe [[10 Julai]] [[1897]] udhaifu ulimzuia asiendelee kuandika habari za maisha yake kama alivyoagizwa. Neno la mwisho aliloliandika katika sentensi isiyomalizika ni "upendo".
Alifariki tarehe [[30 Septemba]] 1897, mnamo saa 19:20.
 
== Heshima baada ya kufa ==
Mara baada ya kufa maandishi yake yalianza kusambaa kwa namna ya ajabu na kumvutia [[heshima]] ya wengi. Pia ilitokea [[miujiza]] iliyopatikana kwa maombezi yake. Ni kama alivyosema, kuwa atamimina [[mvua]] ya ma[[waridi]] kutoka [[mbinguni]], akitumia [[uzima wa milele] kutenda mema mengi duniani.
 
Mwaka [[1925]] [[Papa Pius XI]] alimtangaza mtakatifu, na mwaka [[1997]] [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza mwalimu wa Kanisa kutokana na mchango wake mkubwa katika [[teolojia ya Kiroho]] alioutoa kupitia maandishi yake, yaliyoenea upesi duniani kote.
 
==Njia yake ya kiroho==
“Njia ndogo ya [[utoto wa kiroho]]” inafundisha kutimiza sharti la Yesu: “Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia katika [[ufalme wa mbinguni]]” ([[Math]] 18:3). Njia hiyo inatia moyo wa kujitoa kikamilifu kama kikafara kwa [[wokovu]] wa [[ulimwengu]]. Mwenyewe aliifuata hata akasema: “Sijawahi kumnyima chochote [[Mungu]] mwema!”
 
[[Siri]] yake ni [[upendo]], ambao Teresa alitambua ndio [[wito]] wake katika [[Kanisa]]: kuwa [[moyo]] wa [[Mwili wa Kristo]] ili kusaidia viungo vyake vyote kufanya kazi vizuri.
 
==Sala zake==