Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Atanasi wa Aleksandria''' anayeitwa ''Mkuu'' ([[Aleksandria]], [[Misri]], [[295]] hivi - [[Aleksandria]], [[2 Mei]] [[373]]) alikuwa [[Patriarki]] wa [[Kanisa Katoliki]] la [[madhehebu]] ya [[Misri]] na ndiye aliyetetea kuliko wote [[imani sahihi]] ya [[Kanisa]] kati ya [[mtaguso mkuu|mitaguso mikuu]] miwili ya kwanza.
 
Kwa mafundisho yake na kwa upendo wake motomoto kwa Kristo, tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki, [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] kama [[mtakatifu]] na mmojawapo kati ya ma[[babu wa Kanisa]] walio muhimu zaidi. Anakumbukwa pia katika kalenda ya [[Waanglikana]] na [[Walutheri]]. Wakatoliki

Mwaka [[1568]] [[Papa Pius V]] walimuongezeaalimuongezea sifa ya [[mwalimu wa Kanisa]].
 
Wote wanaadhimisha [[sikukuu]] yake kila mwaka tarehe [[2 Mei]].