Ayatollah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 41 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q184402 (translate me)
imagefix
Mstari 1:
'''Ayatollah''' ([[kiajemi]]: آيت الله, [[kiar.]]: '''آية الله''' ayatu 'llah - "alama ya Allah/Mungu") ni cheo cha kiongozi wa kidini katika [[Uislamu]] wa [[Shia]] hasa nchini [[Uajemi]] na pia [[Iraq]].
 
[[PichaFile:Imamخمینی Khomeiniدر پاریس.jpgJPG|thumb|Ayatolla Khomeini]]
 
Cheo cha ayatollah hakilingani na [[kuhani]] au [[askofu]] katika dini nyingine. Kinafanana zaidi ya [[profesa]] wa chuo kwa sababu ayatollah hutambuliwa baada ya kumaliza masomo yake na kufundisha kwa muda fulani. Akionekana anajua mambo yake anaheshimiwa na akina ayatollah waliomtangulia ataanza kuitwa hivyo.