Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1474755 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Wisukuma''' ni kabila kubwa zaidi nchini [[Tanzania]], linakadiliwa kufikia watu milioni 5.5 idadi inayewakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa jumla. Wasukuma ina maana ya watu wa'''upande wa kaskazini lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsili''' kwa mfano wasukuma hutumia alama ya utambulisho wa eneo fulani kwa viashilio vya makabila, kwa mfano wa jina kama hili '''Kiya''' hili lina maana ya Mashariki ambako ni machweo ya jua huu ni utambulisho ambao haukufananishwa ama kuitwa kwa jina la kabila fulani, ''' mfano mwingine ni upande wa '''Dakama''' ambapo yatambulisha kama eneo la unyamwezini lakini zaidi ya mpanuko wake ni upande wa '''kusini''' zaidi ya hapo neno hili hutumiwa sana na kabila la wanyamwezi ili kutambulisha eneo la wasukuma ambapo wasukuma nao husema ‘’’dakama’’’, upande mwingine ambao unapewa alama ya utambulisho ni '''Shashi''' maana yake ni upande wa kabila ya washashi na neno hili wasashi ni mkusanyiko wa makabila ya mkoa wa mara japo pia neno hili '''shahi''' linamaanisha kabila la wakurya ambalo pia mpanuko wake unakomea hapo ambapo zaidi ya hapo eneo zima la upande huo unamaanisha upande wa kaskazini na apande wa mwisho kutambulishwa ni '''Ngw’eli''', neno hili halikupewa kabila na badala yake linawakilisha upande wa magharibi ambako ni mawio ya jua. " Wasukuma wenyewe hulirejea jina hili kama'' Basukuma'' kwa (wingi) na'' Nsukuma'' kwa (umoja).
'''Wasukuma''' ni kabila kubwa kutoka eneo la kusini na mashariki mwa [[Ziwa Viktoria]], nchini [[Tanzania]]. Kabila hili hasa huishi katika mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Mwaka 2002 idadi ya Wasukuma ilikadiriwa kuwa 3,200,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=suk]. Lugha yao ni [[Kisukuma]]. Kisukuma ni miongoni mwa lugha za Kibantu ambazo hubainishwa kama lugha mabishi.
 
Wasukuma huishi eneo la kaskazini mwa magharibi ya Tanzania kwenye au karibu na mwambao wa kusini mwa Ziwa Victoria, na maeneo mbalimbali ya utawala ya wilaya ya Nyamagana, mkoa wa [[w:Mkoa wa Mwanza | Mwanza]], upo pia kusini magharibi ya mkoa wa [[w:Mkoa wa Mara|Mara]], [[Mkoa wa Simiyu]] na [[Mkoa wa Shinyanga|Mkoa wa Shinyanga]]. Eneo la kaskazini la makazi yao ni katika maarufu Plain [[Serengeti]]. Familia za wasukuma wengi sana wamehamia maeneo ya kusini kuelekea maeneo ya mkoa wa [[w:Rukwa|Rukwa]] ambao baadae umegawanyw’a na kuzaa mkoa wa [[w:Katavi|Katavi]], wakipita maeneo ya kabila ya [[w:PimbweWapimbwe]]. Na hivyo kufanya makazi katika eneo hili la kiji cha Wapimbwe.
 
Eneo hili la wasukumaland ambalo linakadiliwa kuwa na ukubwa na mita za mraba 910 hadi 1200 sawa na futi {{kubadili | 3000 | na | 4000 | ft | disp = flip}}. Mwinuko wake unakadiliwa kuwa inchi Ishirini hadi arobaini ({{kubadili | 20 | wa | 40 | katika | cm | disp = pato tu}}) ya ujazo wa mvua kutoka Novemba hadi mwezi Machi. Kiwango cha juu cha joto hutegemea angalau ni kutoka {{kubadili | 26 | ya | 32 | C | F}} wakati kiwango cha chini nyakati za usikiu hushuka na kufikia {{kubadili | 15 | C}}. Idadi ya watu inaongezeka kwa kasi na hivyo pia kuongezeka kwa wakulima wa mbogamboga.
 
== '''Shughuli za kiuchumi.''' ==