Mtini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q36146 (translate me)
No edit summary
Mstari 16:
| bingwa_wa_spishi = [[Carolus Linnaeus|L.]]
}}
'''Mtini''' (''Ficus carica'') ni mti mkubwa, kama kichaka au mdogo wenye asili ya kusini magharibi mwa [[Asia]] na pande za mashariki mwa [[Mediterania]] (kutoka Afganistani[[Afghanistani]] mpaka Usiriki[[Ugiriki]]). Huwa na kilimo cha mita 6.9 mpaka 10, na shina laini la kijivu. [[Jani|Majani]] yana urefu wa sm 12-15 kwa urefu na sm 10 -18 kwa upana, yakiwa yamegawanyika katika vipande vitatu au vitano. [[Tunda|Matunda]] yake, [[tini|matini]] huwa na urefu wa sm 3-5 na ngozi ya kijani, wakati mwingine huwa na kuwa ya zambarau au kahawia. Majimaji ya tini huwasha [[ngozi]] ya [[binadamu]].
 
Kilimo matumizi, mtini hulimwa kwa ajili ya matunda yake yanayoliwa kwanzia sehemu za asili za Mediterania, Iran na kaskazini mwa Uhindi. Pia hupatikana maeneo haya hasa huko Marekani, Mexiko, Chile, Australia na Afrika ya kusini. Tini hupatikana pia kwenye maeneo ya joto, kama Hansari, na huchumwa mara mbili au tatu kwa mwaka. Tunda hili limekuwa chakula kwa watu wengi kwa miaka zaidi ya elfu na liliaminika kuwa vina virutubisho. Tini inayoliwa ni miongoni mwa mimea ya mwanzo kabisa na binadamu kwaajili yakula kwa mabaki tisa ya tini yanayoonyesha yalikuwepo 9400-9200 [[KK]]. Pengine hata mawazo ya kilimo ndio yalikuwa ndo yanaanza wakati huo na husemwa kwamba mimea mingi kama vile ngano, shairi nk.