Julius Nyerere : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 60:
}}
 
'''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere''' alikuwa [[rais]] wa kwanza wa [[Tanzania]]. Alizaliwa [[Butiama]], mkoani [[Mkoa wa Mara|Mara]] pembezoni mwa [[Ziwa Nyanza]] tarehe [[13 Aprili]] [[1922]]. Alifariki dunia [[14 Oktoba]] [[1999]]. AliiongozaAliongoza TanzaniaTanganyika toka mwaka [[1961]] na kuiongoza Tanzania kuanzia mwaka [[1964]] hadi mwaka [[1985]].
 
Yeye ni mwasisi wa itikadi ya [[ujamaa]] na kujitegemea. Kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mwalimu. Kazi hii ndiyo ilimpatia jina ambalo lilimkaa maisha yake yote la "Mwalimu." Mwalimu Nyerere ni kati ya viongozi wachache wa [[Afrika]] ambao wameacha madaraka kwa hiyari baada ya kutawala kwa muda mrefu. Alipostaafu urais mwaka 1985 alirudi kijijini kwake Butiama ambako aliendesha shughuli za kilimo. Aliendelea kuwa na athari kubwa katika siasa ya Tanzania hadi kifo chake.
Mstari 94:
 
Katika hali ya kukubali ukweli, Nyerere alitamka katika tafrija ya kumwaga juu ya siasa yake kiuchumi “Nimefeli. Tukubali hivyo.”
 
Kosa jengine kubwa la Nyerere ni kumhadaa aliekuwa Rais wa Zanzibar Mzee Abeid Amaan Karume kwa kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar, na kuaanza kuyapora mamlaka ya Zanzibar kidogokidogo. Kwa hivi sasa zaidi ya asilimia 66% ya Wanzanzibari wameshachoka na kiinimacho cha Muungano huu, na wanataka nchi yao ili wapumuwe...
 
===Ukosoaji dhidi yake===