Seif Shariff Hamad : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: kuondoa herufu kubwa ---> ndogo, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
No edit summary
Mstari 3:
'''Maalim Seif Shariff Hamad''' ni Katibu Mkuu wa chama cha upinzani [[CUF]] ( [[Chama cha Wananchi]] ). Alizaliwa [[22 Oktoba]] [[mwaka]] [[1943]], katika kijiji cha [[Nyali]], [[Mtambwe]] [[kisiwani]] [[Pemba]], [[Tanzania]].
 
Alipata [[elimu]] yake ya msingi katika shuleskuli ya msingi [[Uondwe]], [[1950]] na baadaye alijiunga na [[elimu]] ya sekondari katika shuleskuli ya wavulanawatoto wa kiume [[Wete]] [[Pemba]] [[1952]].
Baadaye aliendelea na [[elimu]] ya [[sekondari]] katika shuleskuli ya King George na kuhitimu kidato cha sita [[mwaka]] [[1963]] ambapo baadaye kati ya [[mwaka]] [[1972]] na [[1975]] alihitimu [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] na kutunukiwa shahada ya kwanza ya Sayansi ya Siasa (Political Science).
 
== Kazi ==
Kati ya mwaka [[1972]] na [[1975]] alifundisha katika shuleskuli mbali mbali za [[Unguja]] na [[Pemba]], zikiwemo Fidel Castro na Lumumba,
 
== Siasa ==
Mstari 14:
Mwaka [[1977]] hadi [[1987]], alikuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na kuwa Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama hicho.
 
Mwaka 1982 hadi [[1987]] alikuwa Mkuu wa Idara ya Uchumi na Mipango ya Chama cha Mapinduzi na 1984 aliteuliwa kuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hadi mwaka 1988.
 
Baada hapo, misukosuko mikubwa ya kisiasa ilianza kumkumba ambapo Januari [[1988]] alipoteza nafasi ya Uwaziri Kiongozi na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi baada ya aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Idrisa Abdulwakil kutangaza kulivunja Baraza la Mawaziri.
Mstari 21:
* Mei 1988, Maalim Seif alitoka katika chama cha CCM.
 
== Kuanza kuwa chama Pinzanicha upinzani ==
* [[Mwaka]] [[1992]], Maalim Seif alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa [[CUF]]. Hivi sasa ni Katibu Mkuu wa chama hicho.