Ufunuo wa Yohane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 74 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q42040 (translate me)
Mstari 12:
Akiwa kijana kuliko [[mitume]] wenzake, Yohane alijaliwa kuishi miaka mingi na kuandika hadi miaka 70 hivi baada ya [[Yesu]] kwenda mbinguni.
 
Miaka hiyo yote alizidi kutafakari na kuhubiri maneno na matendo ya [[Bwana]] akitambua mafumbo mengi yaliyofichika ndani yake. Na baada ya hapo alifungwa katika kisiwa cha patmo
Akiwa patimo Yesu kristo anamtokea Yohana na kumpa ufunuo(ufunuo 1;9-11)
 
Pengine alirekebisharekebisha maandiko yake mpaka mwishoni, halafu akawaachia wanafunzi wake kuyakamilisha na kuyaeneza kati ya [[Wakristo]] wa mkoa wa [[Efeso]] ambapo aliongoza [[Kanisa]] miaka mingi.
 
Ufunuo ni kitabu pekee cha kinabii katika Agano Jipya; kilikamilika mwaka 95 hivi [[B.K.]]; lengo lake ni kuwaimarisha katika tumaini [[Wakristo]] waliozidi kudhulumiwa na serikali ya [[Roma]].