Ufunuo wa Yohane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
Akiwa kijana kuliko [[mitume]] wenzake, Yohane alijaliwa kuishi miaka mingi na kuandika hadi miaka 70 hivi baada ya [[Yesu]] kwenda mbinguni.
 
Miaka hiyo yote alizidi kutafakari na kuhubiri maneno na matendo ya [[Bwana]] akitambua mafumbo mengi yaliyofichika ndani yake. NaPengine baadaalirekebisharekebisha maandiko yake mpaka mwishoni, halafu akawaachia wanafunzi wake kuyakamilisha na kuyaeneza kati ya hapo[[Wakristo]] wa mkoa wa [[Efeso]] alifungwaambapo katikaaliongoza kisiwa[[Kanisa]] chamiaka patmomingi.
 
Akiwa patimo Yesu kristo anamtokea Yohana na kumpa ufunuo(ufunuo 1;9-11)
Hatua muhimu ni ile iliyofuata kufungwa kwake katika [[kisiwa]] cha [[Patmo]] (leo nchini [[Ugiriki]]). Akiwa huko [[Yesu Kristo]] alimtokea Yohane na kumpa ufunuo [[siku ya Bwana]], yaani [[Jumapili]] (Ufunuo 1;9-11)
 
Ufunuo ni kitabu pekee cha kinabii katika Agano Jipya; kilikamilika mwaka 95 hivi [[B.K.]]; lengo lake ni kuwaimarisha katika tumaini [[Wakristo]] waliozidi kudhulumiwa na serikali ya [[Roma]].