Wanyakyusa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
<b>Kazi</b>
<hr>
<b>MGAWANYIKO WA WANYAKYUSA</b>
Wanyakyusa toka zamani walijulikana wakijulikana kama watu wa Konde. Wengi walikuwa kaskazini mwa ziwa nyasa lakini katika harakati za maisha na mabadiliko ya kimazingira wengi wao wakakimbilia Mbeya mjini na sehemu zingine lakini hasa wanyakyusa wapo wa aina mbili nao ni wanyakyusa wa Tukuyu na wanyakyusa wa Kyela.
 
<u>Sifa za wanyakyusa wa Kyela</u>
1.Wengi sio wapole mtu afanyapo kosa.
2.Wacha mungu
3.Wanajua kupenda
4.Hawapendi dharau
5.Wanapenda kujulikana (hasa kama wamesoma Degrii,master au PHD)
6.Wapiganaji sana kimaisha
7.Wana wivu katika masuala ya mapenzi
8.Wanapenda Haki itendeke ,Hawapendi ubabaishaji! Mfano. Dr. mwakyembe
<u>Sifa za wanyakyusa wa Tukuyu
1.Wapole
2.Wacha Mungu
3.Wanajua kupenda
4.Hapendi dharau kabisa
5. Wanajituma kwenye kazi hasa kilimo
6.Wana wivu sana
7.wanapenda Haki itendeke na hawapendi ubabaishaji! mfano. Prof.mwakyusa, Mwandosya.
8. Ni watu jasiri na wasio ogopa vitisho Mfano Dr.Stephen ulimboka na marehemu Mwangosi
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.nyakyusa.com/nyakyusa.htm The Nyakyusa Homepage]