Mambo Huangamia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q622400 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
 
== Mkondo wa hadithi ==
Mhusika mkuu anaitwa [[Okonkwo]], tajiri katika kijiji cha [[Umuofia]]. Huyo Okonkwo hufuata mila na desturi za Kiigbo vizuri sana ili kumshinda babake ambaye ni mduni. Katika kufuata hizo mila alifika hatua ya kumuua mwana wake wa kambo na wanakijiji wakakubali. Siku moja lakini Okonkwo kwa bahati mbaya alimuua mwanakijiji mwingine na sasa akahukumiwa kuondoka kijijini kwake kwa miaka saba zinavyoamuru mila za kijiji. Huko uhamishoni Okonkwo alikutana na [[wamisionari]] Wazungu, akasikitika sana kugundua mwana wake mwenyewe aliacha mila za Kiigbo na kukubali dini ya [[Ukristo]]. Okonkwo akirudi kijijini baadaye akakuta hata maisha ya kijijini yameathiriwa na hiyo dini mpya. Akaanza kuupigia vita Ukristo, hatimaye lakini aliona kuwa haiwezekani kurudi kwa maisha ya kimila akajiua kwa kujinyonga.ku
 
== Marejeo ==
* '''''(de)''''' "Kindlers Literaturlexikon" (1970), diwani ya 10, Zürich: Kindler, uk.9345
 
{{mbegu-kitabu}}
 
[[Jamii:Fasihi ya Nigeria]]
 
[[pl:Things Fall Apart]]