Wakopti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 43 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q146744 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
[[File:StMarkCopticOrthodoxChurchBellaireTX0.JPG|thumb|180px|Kanisa la Mt. Marko huko [[Bellaire]], [[Texas]], [[Marekani]]. Wakopti milioni 4 wanaishi nje ya Misri.]]
 
'''Wakopti''' ni [[Wakristo]] asili wa [[Misri]], ambao wanafuata [[madhehebu]] ya pekee katika kundi la [[Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki]] na wanaunda kundi kubwa zaidi la wakazi wasio [[Waislamu]] katika nchi hiyo.
 
==Historia==
Aina hiyo ya [[Ukristo]] ilikuwa anaongoza kabisa kati ya [[dini]] za nchiMisri hiyo kwanziakuanzia [[karne ya 4]] hadi [[karne ya 6]] [[B.K.]], lakini baada ya [[uvamizi]] wa [[Waarabu]] ([[641]]), [[Uislamu]] ulizidi kuenea kwa njia mbalimbali<ref name="U.S. Bill Has Egypt's Copts Squirming">{{cite news | last = Ibrahim | first = Youssef M. | title= U.S. Bill Has Egypt's Copts Squirming | work= [[The New York Times]] | date=18 Aprili 1998 | url = http://query.nytimes.com/gst/fullpage.html?res=9E02E5DC103DF931A25757C0A96E958260&sec=&spon=&pagewanted=1| accessdate=2008-10-08}}</ref>.
 
Hata hivyo, Wakopti wanabaki asilimia 10-20 ya Wamisri wote<ref name="Christian-Muslim Gap">{{cite web | last = Cole | first = Ethan| title=Egypt's Christian-Muslim Gap Growing Bigger | publisher= [[The Christian Post]] | date=8 Julai 2008 | url = http://www.christianpost.com/article/20080708/egypt-s-christian-muslim-gap-growing-bigger.htm | accessdate=2008-10-02}}</ref>, isipokuwa wanazungumza [[Kiarabu]], si [[Kikopti]] tena, ambacho kinatumika tu katika [[liturujia]].
Line 60 ⟶ 61:
 
[[Category:Ukristo]]
[[Jamii:Waorthodoksi wa Mashariki]]
[[Category:Misri]]