Wikipedia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
{{Kuhusu | elezo mtandao}}
{{Selfref | Kwa kuanzishwa kwa wageni si encyclopedic na Wikipedia, kuona
{{srlink | Wikipedia: Kuhusu}}. Katika ukurasa wa kuu, kuona {{srlink | Kuu ukurasa}}.}}
{{Matumizi dmy tarehe | tarehe = Novemba 2012}}
{{Pp-nusu uharibifu | demolevel = nusu | ndogo = ndiyo}} {{pp-hoja-indef}} {{Infobox tovuti
Mstari 25:
}}
'''Wikipedia''' ni [[kamusi elezo]] huru ya [[lugha]] nyingi katika [[mtandao]]. Inatumia taratibu wa [[wikiwiki]]. Ni bure kabisa, na inaweza kusomwa, kuandikwa, na kuhaririwa na mtu yeyote, popote pale. Yaani kila mtu anaweza kuchangia makala au kuwa na uhuru wa kuboresha makala zilizopo kwa kuzihariri. Kamusi hii inajengwa kwa utaratibu huria ambao umejengwa juu ya falsafa ya ushirikiano inayokuwa kwa kasi. Falsafa hii inaonekana katika vuguvugu la [[programu huria ya tarakilishi]], [[mikutano huria]], [[demokrasia huria]], n.k .Wikipedia inaweza kusomewa pia nje ya mtandaoni kwa kutumia programu huria ya [[Kiwix]].
== Historia ==
Wikipedia ilianzishwa kwa [[Kiingereza]] mwezi wa kwanza mwaka [[2001]]. Mwaka [[2003]] kamusi elezo hii ilianzishwa katika lugha ya [[Kiswahili
{{mbegu-elimu}}
[[Jamii:Wikimedia]]
|