Ikulu ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Ikulu (State House)''' ya nchi ya Tanzania lijengwa kwa namna ya kipekee na Wajerumani mwaka 1891 na gavana wa kijerumani Julius VinVon Soden na kutumika kama ngome ya gavana. Iliharibiwa wakati wa vita ya kwanza ya Dunia. Baada ya vita ya kwanza ya Dunia Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa kikoloni wa Waingereza na hapo ngome hiyo(state house) iliitwa ''Government House'' na ilijengwa tena mwaka 1922 ambapo gavana wa Kiingereza Sir Horace Bytt alipochukua utawala. Majengo hayo yamejengwa kwa ubora wa pekee na ni ya kihistoria kwani yalikuwa ni Ngome za magavana.
 
[[Jamii:Tanzania]]