Mangwair : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na 'Oa'
Mstari 1:
Oa
[[Image:Mangwair.jpg|right|thumb|Mangwair a.k.a Mimi]][[Image:Ngwair 2.jpg|right|thumb|Mangwair a.k.a Cow Boy]]
 
'''Albert Mangwair''' a.k.a Mimi a.k.a Ngwair ni msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani [[Dodoma]]. Hivi sasa anaishi jijini [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]] ambako alikokutana na mtayarishaji mahiri wa mziki p funk majani kuanza kufanya naye kazi. Hiyo ilikuwa ni mwaka 2003 ambapo alitoa kibao cha kwanza kiitwacho 'Ghetto Langu,' nyimbo ilimpatia umaarufu mkubwa. Mangwair pia aliwahi kushinda tuzo ya [[Kilimanjaro Music Awards]] kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005.
Mwaka wa 2007 akatokea kwa wimbo wa kimya kimya akiwa na wana chemba. Katika Kimya Kimya anapagawisha.kwa sasa ngwair anatesa na nyimbo inayotamba kwa jina washamba.
Died 28/05/2013
 
==Orodha ya Albamu zake==
* '''1''' aka MIMI ([[2003]])
* '''1''' Nge ([[2010]])
 
==Viuongo vya Nje==
* [http://www.myspace.com/ngwair Mangwair Katika Myspace]
* [http://www.facebook.com/people/Albert-Mangwair/1513058988 Mangwair Katika Facebook]
* [http://www.twitter.com/ngwair Mangwair Katika Twitter]
 
{{Mbegu-mwanamuziki-Afrika}}
 
{{DEFAULTSORT:Mangwair, Albert}}
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]]
[[Jamii:Hip Hop ya Bongo]]
[[Jamii:Bongo Flava]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
 
Albert Mangwair alifariki jana tarehe 28/5/2013 akiwa huko arfrika ya kusini. Taarifa zinasema alifariki baada ya kutumia madawa ya kulevya kwa wingi.