Tofauti kati ya marekesbisho "Victoria Falls"

195 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
+ cite
d (Bot: Migrating 68 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q43278 (translate me))
(+ cite)
Mwendo wa Zambezi mwenye upana wa mita 1170 unafika penye ngazi ya mwamba na maji yote yaanguka kimo cha takriban mita 110 yanapoendelea katika kanali ya mwamba mwenye upana wa 120 m pekee. Maporomoko haya ni makubwa katika Afrika.
 
Wenyeji wameiita "'''mosi oa tunya'''" (moshi wa ngurumo) kwa sababu nyunyiza ya maji yaonekana juu ya maporomoko kama wingu la moshi na sauti ya anguko la maji yasikika mbali.<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/550/ |title = Victoria Falls |website = [[World Digital Library]] |date = 1890-1925 |accessdate = 2013-06-01 }}</ref>
 
Jina la Victoria Falls limetokana na [[David Livingstone]] aliyekuwa mzungu wa kwanza wa kuona maajabu haya mwaka [[1856]]. Alichagua jina hili kwa heshima ya malkia [[Viktoria wa Uingereza]].<ref name="WDL"/>
 
Tangu [[1989]] Victoria Falls imepokelewa katika orodha la "[[urithi wa dunia]]" wa [[UNESCO]].
14

edits