Liturujia ya Kimungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Meister der Palastkapelle in Palermo 003.jpg|thumb|right|[[Mozaiki]] ya mwaka [[1150]] hivi inayoonyesha watakatifu [[Basili Mkuu]] (kushoto) na [[Yohane Krisostomo]], watunzi wa [[anafora]] mbili zinazotumika zaidi. Iko katika [[Cappella Palatina]], [[Palermo]] ([[Italia]]).]]
'''Liturujia ya Kimungu''' ni adhimisho la [[ekaristi]] kwa jina linalotumiwa hasa na [[Waorthodoksi]] na [[Wakatoliki wa Mashariki]] wanaofuata [[madhehebu]] ya [[Liturujia ya Ugiriki|Kigiriki]].
 
Ina sehemu kuu mbili: moja ambayo inaruhusu [[wakatekumeni]] kuhudhuria, ya pili ni kwa ajili ya waamini waliobatizwa tu.