Liturujia ya Canterbury : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 4 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1478678 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
ndani ya [[Kanisa la Kilatini]].
 
Mwaka [[2011]] na [[2012]] [[Papa Benedikto XVI]] alianzisha ma[[jimbo]] la tatumatatu kwa Waanglikana walioamua kujiunga na [[Kanisa Katoliki]] kama makundi.

La kwanza lilianzishwa kwa wale wa [[Uingereza]] na [[Wales]], la pili kwa wale wa [[Marekani]] (baadaye liliongezewa wale wa [[Kanada]])<ref name="decree">{{cite paper | title = Decree of Erection of the Personal Ordinariate of the Chair of Saint Peter | url = http://www.usordinariate.org/images/CSP_Decree.pdf | last = Cardinal Levada | first = William | publisher = Holy See | date = 1 Januari 2012}}</ref><ref name=NewUSAnglicanOrdinariate>{{cite web|first=Michelle|last=Bauman|title=New U.S. Anglican Ordinariate Has an Ordinary|date=3 Januari 2012 (1 Januari 2012 print edition)|publisher=EWTN News, Inc|work=National Catholic Register|url=http://www.ncregister.com/daily-news/new-u.s.-anglican-ordinariate-has-an-ordinary?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+NCRegisterDailyBlog+National+Catholic+Register#When:2012-01-3|accessdate=2012-01-06}}</ref>, la tatu kwa wale wa [[Australia]].
 
Kila mojawapo linaongozwa na [[padri]] mwenye [[ndoa]] aliyewahi kuwa [[askofu]] wa Kianglikana.
Line 10 ⟶ 12:
Kabla ya hapo kulikuwa na [[parokia]] tu za namna hiyo huko Marekani na [[Kanada]], zikifuata hati maalumu ya [[Papa Yohane Paulo II]] ya tarehe [[20 Juni]] [[1980]],<ref name=Stetson>[http://www.pastoralprovision.org/history William H. Stetson, "History of the Pastoral Provision"]</ref><ref name=Barker>[http://www.google.com/search?tbm=bks&tbo=1&q=%22Jack+D.+Barker%22+%22a+history+of+the+pastoral%22&btnG= Jack D. Barker, "A History of the Pastoral Provision for Roman Catholics in the USA", chapter 1 of Stephen E. Cavanaugh, ''Anglicans and the Roman Catholic Church'' (Ignatius Press 2011 ISBN 9781586174996)]</ref><ref name=Office>[http://www.pastoralprovision.org/ Office of the Ecclesiastical Delegate for the Pastoral Provision]</ref>
 
Tarehe [[9 Desemba]] [[2009]], Benedikto XVI alitoa hati ''[[Anglicanorum Coetibus]]'', iliyoweka taratibu za uanzishaji wa majimbo yasiyopakana na majimbo ya kawaida ya Kilatini kwa Wakristo wa namna hiyo<ref>[http://ncronline.org/news/faith-parish/new-ordinariate-and-1980-pastoral-provision-analysis Jerry Fiteau, "New ordinariate and 1980 pastoral provision: An analysis"]</ref>, lakini parokia zilizoanzishwa kabla ya hapo hazijajiunga na jimbo la Kimarekani. Mkutano maalumu kwa ajili hiyo unatarajiwaulifanyika tarehe 8-10 Novemba 2012<ref>[http://anglicanuseconference.com/ 2012 Anglican Use Conference]</ref>.
 
Kwa niaba ya [[Papa]], [[Idara ya Ibada ya Kimungu]] ilipitisha ''the Book of Divine Worship'' kwanza mwaka [[1984]], halafu moja kwa moja mwaka [[1987]].<ref name=Barker/>