Mangwair : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 3:
'''Albert Mangwair''' a.k.a Mimi a.k.a Ngwair alikuwa msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani [[Dodoma]] na alifariki dunia 28 Mei 2013 akiwa Africa Kusini. Marehemu alikuwa akiishi jijini [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]] ambako alikokutana na mtayarishaji mahiri wa mziki p funk majani na kuanza kufanya naye kazi. Hiyo ilikuwa ni mwaka 2003 ambapo alitoa kibao cha kwanza kiitwacho 'Ghetto Langu,' nyimbo ilimpatia umaarufu mkubwa. Mangwair pia aliwahi kushinda tuzo ya [[Kilimanjaro Music Awards]] kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005.
Mwaka wa 2007 akatokea kwa wimbo wa kimya kimya akiwa na wana chemba. Katika Kimya Kimya anapagawisha.kwa sasa ngwair anatesa na nyimbo inayotamba kwa jina washamba.
Albert Mangwair alifariki tarehe 28/5/2013 akiwa huko arfrika ya kusini. Taarifa zinasema alifariki baada ya kutumia madawa ya kulevya
==Orodha ya Albamu zake==
Mstari 21:
[[Jamii:Bongo Flava]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
▲Albert Mangwair alifariki tarehe 28/5/2013 akiwa huko arfrika ya kusini. Taarifa zinasema alifariki baada ya kutumia madawa ya kulevya kwa wingi.http://sashajustice.com/tanzanian-rapper-albert-mangwair-aka-ngair-has-passed-away/
|