Mangwair : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Mangwair.jpg|right|thumb|Mangwair a.k.a Mimi]][[Image:Ngwair 2.jpg|right|thumb|Mangwair a.k.a Cow Boy]]
 
'''Albert Mangwair''' (1982 - 2013) a.k.a Mimi a.k.a Ngwair alikuwa msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani [[Dodoma]] na alifariki dunia 28 Mei 2013 akiwa Africa Kusini. Marehemu alikuwa akiishi jijini [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]] ambako alikokutana na mtayarishaji mahiri wa mziki p funk majani na kuanza kufanya naye kazi. Hiyo ilikuwa ni mwaka 2003 ambapo alitoa kibao cha kwanza kiitwacho 'Ghetto Langu,' wimbo uliompatia umaarufu mkubwa sana.
 
Mangwair pia aliwahi kushinda tuzo ya [[Kilimanjaro Music Awards]] kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005. Mwaka wa 2007 akatokea kwa wimbo wa kimya kimya akiwa na wana chemba. Katika Kimya Kimya anapagawisha.kwa sasa Ngwair anatesa na nyimbo inayotamba kwa jina washamba.