Jorge Luis Borges : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 100 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q909 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
'''Jorge Luis Borges''' ([[24 Agosti]] [[1899]] - [[14 Juni]] [[1986]]) alikuwa mwandishi wa fasihi kutoka nchi ya [[Argentina]]. Wataalamu wengi wa fasihi wanaamini kuwa Borges alikuwa mmojawapo wa waandishi mashuhuri sana katika karne iliyopita.
 
Mwaka 1914, familia yake ilihamia nchini [[Switzerland]] ambapo aliweza kujiunga na shule na baadaye kusafiri nchini Hispania. Alivyorudi nchini [[Argentina]] mnamo mwaka 1921, Borges alianza kuchapisha vitabu vya fasihi na insha kadhaa. Pia alishawahi kufanya kazi kama mkutubi na mhadhiri wa umma. Mwaka 1955, alichaguliwa kuwa mkurugenzi wa Maktaba ya Taifa (Biblioteca Nacional) na mwalimu wa Fasihi katika [[Chuo Kikuu]] cha [[Buenos Aires]].
 
Mwaka 1961 alikuja katika uzingativu wa watu kimataifa pale alipopata Tuzo ya Waandishi wa Kimataifa kwa ajili ya Prix Formentor. Mwaka 1971 alijishindia Tuzo ya [[Jerusalem]]. Kazi zake zilitafsiriwa na kuchapishwa zaidi nchini Marekani na huko barani Ulaya. Borges yeye mwenyewe alikuwa anajua lugha kadhaa kwa ufasaha kabisa. Alifariki mjini [[Geneva]], [[[Switzerland]], mnamo mwaka 1986.
 
Borges hasa alijulikana kwa kutunga hadithi fupi za kubuniwa zilizoangazia masuala magumu kama vile "Wakati, Uwanda na Vioo" (kwa Kiingereza, ''Time, space and mirrors'').
Mstari 16:
 
{{DEFAULTSORT:Borges, Jorge}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1899]]
[[Jamii:Waliofariki 1986]]