Content deleted Content added
www.pis.org.pl URINDOGERMANEN ERWACHE wielka polska kaczystowska
d Masahihisho aliyefanya 185.5.97.89 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Muddyb Blast Producer
Mstari 317:
Riccardo, salaam. Ni siku nyingi sana zimepita na sijapata kujua hali yako na hata kuomba msaada wa hapa na pale. Haya, leo nimekuja na shida kidogo. Ninaomba urekebishe hiyo makala kama unaelewa jamaa alitaka kumaanisha kitu gani. Nimeona mambo yanayokuhusu - ndiyo maana nimekuja kwako. Tafadhali saidia kupanua makala hiyo ili iwe Kiwikipedia zaidi na kuleta maana vilevile. Wako, Muddyb, au--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 09:54, 4 Juni 2013 (UTC)
 
:Ni kweli, hatuwasiliani sana, ingawa ninahitaji bado maelekezo yako ya kiufundi. Kwa mfano, nikitaka kuongeza kati ya lugha zangu Kihehe, nitumie kifupisho kipi? HH? Au hairuhusiwi? --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 08:05, 6 Juni 2013 (UTC)
 
::Haya, kama nimeweza kukuelewa - unajaribu kumaanisha zile lugha zako za ukurasa wa mtumiaji? Ikiwa ndiyo, basi naona hili hapa: katika msimbo wa lugha ya Kihehe kimataifa ni "heh". Sasa utatazama kama hatua yako ni "Heh" 1, 2, au 3! Ukijibu tu, nitakutengenezea kigezo cha lugha hiyo haraka iwezekanavyo. Ukiona unaweza kuendelea mwenyewe, basi sawa tu. Wako Muddyb au,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 12:00, 7 Juni 2013 (UTC)
Ni kweli, hatuwasiliani sana, ingawa ninahitaji bado maelekezo yako ya kiufundi. Kwa mfano, nikitaka kuongeza kati ya lugha zangu Kihehe, nitumie kifupisho kipi? HH? Au hairuhusiwi? --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni#top|majadiliano]])''' 08:05, 6 Juni 2013 (UTC)