Tofauti kati ya marekesbisho "Dini asilia za Kiafrika"

no edit summary
(DINI KATIKA UTAMADUNI WA KIZUNGU NA AFRUKA-BY SHIJA MALALE)
 
No edit summary
DniDini nyingi za kiafrika zilikuwa zikifuata imani sawa kabisa na tamaduni za ulaya na nchi za ughaibuni. tunajua kuwa waanzilishi wa dini za kigeni hawakutuletea kitu kipya ila baadhi yao walileta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia mapangoni au misituni kama waafrika waliowengi, walituhimiza kujenga makanisa na misikiti kwa ajili ya kumwabudu muangu. madhehebu mengi ya kikristo yamekuwa yakiabudu mungu kupitia wafu wa kizungu. mfano, kwa waafrika waliwaenzi wazee wao waliokufa na kuwaita mizimu ya mababu. jina hilo lilitumika kama watakatifu kwa dini baadhi za kikristo mfani romani katoliki. Waafrika waliwaabudu wafu kwenye makabuli yao, lakini wazungu waliwaabudu wafu kanisani kwa kutaja sala zao pamoja na kusujudu picha za hao wafu. lakini si madhehebu yote yafanyayo hivyo.
Katika amri kumi, waafrika walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa wazungu, waliwaheshimu wazazi wao, hawakuua, kuiba au kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.tatizo ni kwamba, Mungu mwenyewe alitoa namna ya kumwabudu, hakutaka tumwabudu kupitia wafu au mizimu, bali tumwabudu kupitia roho mtakatifu yaani uweza wake mwenyewe.
Hata wanaojiita wakristo kwa sasa yawapasa kuwa makini na kutambua wanachokiabudu, haijalishi we ni mkristo wa dhehebu gani au wewe ni mwislamu, jaribu kuchunguza kama unamwabudu mungu kupitia wafu. maana hakuna mtakatifu aliyekufa na mungu akawaagiza muombe kupitia hao wafu.
Ukitaka kumwabudu mungu, fuata Amri zote kumi huku ukimtegemea yeye tu.
 
Imeandikwa na
SHIJA MALALE SHIJA
CHUO KIKUU CHA DODOMA
Anonymous user