Dini asilia za Kiafrika : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
Dini nyingi za kiafrika zilikuwa zikifuata imani sawa kabisa na tamaduni za ulaya na nchi za ughaibuni. tunajua kuwa waanzilishi wa dini za kigeni hawakutuletea kitu kipya ila baadhi yao walileta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia mapangoni au misituni kama waafrika waliowengi, walituhimiza kujenga makanisa na misikiti kwa ajili ya kumwabudu
Katika amri kumi, waafrika walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa wazungu, waliwaheshimu wazazi wao, hawakuua, kuiba au kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.tatizo ni kwamba, Mungu mwenyewe alitoa namna ya kumwabudu, hakutaka tumwabudu kupitia wafu au mizimu, bali tumwabudu kupitia roho mtakatifu yaani uweza wake mwenyewe.
Hata wanaojiita wakristo kwa sasa yawapasa kuwa makini na kutambua wanachokiabudu, haijalishi we ni mkristo wa dhehebu gani au wewe ni mwislamu, jaribu kuchunguza kama unamwabudu mungu kupitia wafu. maana hakuna mtakatifu aliyekufa na mungu akawaagiza muombe kupitia hao wafu.
|