Kahawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 133 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8486 (translate me)
Sahihisho
Mstari 2:
[[Picha:A small cup of coffee.JPG|thumb|Kikombe cha kahawa]]
 
'''Kahawa''' ni [[kinywaji]] kinachotengezwa kutokana na [[buni]] ambazo ni [[mbegu]] za [[mibuniMbuni (mmea)|mbuni]].
 
Kahawa ni kinywaji kinachozidi kuenea duniani. Inapendwa kwa sababu ya ladha yake pamoja na dawa la [[kafeini]] lililopo ndani yake. Kafeini ina taathiri ya kuchechemua na kuondoa uchovu.