Ndizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ondoleo la jamii
Mstari 37:
== Virutubisho ==
 
===Matumizi mengine===.
 
Ndizi kavu au zilizokaangwa baada ya kuiva huweza kuliwa kama chakula cha kutafuna. Tofauti na matunda mengine, ni vigumu kuandaa sharubati ya ndizi, na mara nyingi zinapopondwa huishia kuwa ujiuji tu.