Kitabu cha Baruku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Baruku''' ni kimojawapo kati ya vitabu vya [[deuterokanoni]] vya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
==Uandishi==
Kadiri ya utangulizi wake (Bar 1:1-14), kiliandikwa na [[Baruku]], karani wa [[nabii Yeremia]], wakati wa uhamisho wa [[Wayahudi]] huko [[Babuloni]] katika [[karne ya 6 K.K.]].
 
Hata hivyo wataalamu wanaona kiliandikwa katika [[karne ya 2 K.K.]] moja kwa moja katika lugha ya [[Kigiriki]], isipokuwa labda sehemu ya pili inatokana na andiko asili la [[Kiebrania]].
 
==Mazingira==
Kitabu kinatuingiza katika [[Uyahudi]] wa [[mtawanyiko]] na kutuonyesha jinsi maisha [[maadili]]fu ya kidiniki[[dini]] yalivyodumishwa kwa kuhusiana na [[Yerusalemu]], kwa kudumisha [[sala]] na kushika [[Torati]].
 
==Ufafanuzi==
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Viungo vya nje ==
*[http://www.jewishencyclopedia.com/view.jsp?artid=331&letter=B ''Jewish Encyclopedia'':] Baruch
*[http://www.usccb.org/nab/bible/baruch/intro.htm N.A.B. Introduction to Baruch]
Line 17 ⟶ 20:
*[http://www.ccel.org/wwsb/Baruch/index.html World Wide Study Bible: Baruch]
*[http://www.biblicalaudio.com/baruch1.htm 1Baruch 2012 Translation & Audio Version]
 
{{mbegu-Biblia}}
 
{{DEFAULTSORT:Baruk}}
 
[[Jamii:Vitabu vya Agano la Kale]]