Kanisa la Wakaldayo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 25 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q64868 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:EMMANUEL-DELLY.jpg|thumb|right|280px|Patriarki wa sasa, kardinali [[Emmanuel III Delly]].]]
{{Kanisa Katoliki}}
'''Kanisa Katoliki la Wakaldayo''' (kwa [[Kiaramu]] ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ''ʿītha kaldetha qāthuliqetha'') ni mojawapo kati ya [[Makanisa Katoliki ya Mashariki]], likifuata [[mapokeo]] ya [[Mesopotamia]] na kutumia [[liturujia ya Mesopotamia]]<ref>{{cite web|url=http://www.kaldu.org/14_Reformed_ChaldeanMass/QA_NewMass.html |title=TQ & A on the Reformed Chaldean Mass |accessdate=2009-02-07}}</ref>.
 
Idadi ya waamini leo ni kati ya 500,000 na 1,000,000<ref name="CNEWA website">{{cite web