Isaac Newton : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:GodfreyKneller-IsaacNewton-1689.jpg|thumbnail|Isaac Newton]]
[[Picha:Newton-Principia-Mathematica 1-500x700.jpg|thumb|right|200px|Kitabu chake ''Principia Mathematica'', [[1686]].]]
'''Isaac Newton''' ([[4 Januari]] [[1642]] – [[31 Machi]] [[1727]]) alikuwa [[mwanahisabati]] na [[mwanafizikia]] kutoka nchi ya [[Uingereza]].
Anakumbukwa Ndiye aliyegundua tawi la [[calculus]] na [[nadharia ya mwendo]] na Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika [[nadharia ya mwanga]], kuona na jinsi [[rangi]] zinavyotokea. Nadharia zake zote aliziweka katika vitendo na kukubalika na ndizo zitumikazo hadi leo. Newton alipata [[shahada]] yake ya kwanza mwaka [[1665]] na ile ya [[uzamili]] mwaka [[1668]].
{{Commons|Isaac Newton}}
{{Mbegu-mwanasayansi}}
Line 17 ⟶ 27:
{{Link FA|es}}
{{Link FA|it}}
|