10,613
edits
d (Bot: Migrating 96 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9482 (translate me)) |
d |
||
[[Xerinae]]
}}
'''Kindi''' ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Sciuridae]]. Spishi nyingine huitwa '''kidiri''' au '''kuchakulo'''. Wanatokea [[Amerika]], [[Ulaya]], [[Asia]] na [[Afrika]] na wamewasilishwa katika [[Australia]]. Takriban [[spishi]] zote huishi [[mti|mitini]], lakini [[kuchakulo]] huishi ardhini. Mkia wa kindi una urefu karibu na ule wa mwili, pengine zaidi. Hula [[mbegu]], [[kokwa|makokwa]], [[tunda|matunda]], [[uyoga|nyoga]], [[tumba|matumba]] na [[chipukizi|machipukizi]]. Wakati ambapo chakula cha kimea ni adimu, kindi hula chakula cha kinyama pia, k.f. [[
==Uainishaji==
|