Tofauti kati ya marekesbisho "Ubao"

23 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 103 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q287 (translate me))
No edit summary
Ubao hutengenezwa na mti wakati wa kukua. Ubao laini katika ganda la nje la gogo hupitisha maji na lishe kutoka mizizi kwa matawi na majani. Kila mwaka ganda jipya linaongezeka nje na ganda la ndani huwa imara na kupoteza uwezo wa kupitisha maji. Mabadiliko haya ya kila mwaka huonekana katika miviringo ya ubao ndani ya mti.
 
Ubao umetumiwa na wanadamu tangu miaka maelfu. Mwanzoni ilitumiwa kama kuni na fimbo la [[silaha]]. Baadaye watu walijifunza kuchonga ubao kwa matumizi mbalimbali kama vile [[ujenzi]], vifaa, [[sanaa]] kama [[uchongaji]], [[karatasi]] na mengi mengine.
 
Ubao huwa na faida ni imara lakini si vigumu ya kukata na kuchonga, tena ni nyepesi. Pia inapatikana kwa wingi angalau katika maeneo ambako miti inakua.