=== Kifua kikuu katika sehemu nyingine ya mwili ===
Kadri ya 15-20% ya madhara yanayoletwa na ugonjwa yanaletwa na maambukizi yanayoenea nje ya viungo vya kupumua, na husababisha aina nyingine ya kifua kikuu.<ref>{{cite book|last=Jindal|firstauthor=editor-in-chief SK Jindal|title=Textbook of pulmonary and critical care medicine|publisher=Jaypee Brothers Medical Publishers|location=New Delhi|isbn=978-93-5025-073-0|pages=549|url=http://books.google.ca/books?id=EvGTw3wn-zEC&pg=PA549}}</ref> Kifua kikuu kinachotokea nje ya viungo vya kupumua kinaitwa "extrapulmonary tuberculosis" .<ref name=Extra2005>{{cite journal|pmid=16300038|year=2005|author=Golden MP, Vikram HR|title=Extrapulmonary tuberculosis: an overview|volume=72|issue=9|pages=1761–8|journal=American family physician}}</ref> Extrapulmonary TB hutokea zaidi kwa [[wagonjwa]] wenye upungufu wa kingamwili na watoto wadogo. ExtrapulmonaryTB hutokea kwa zaidi ya 50% ya wagonjwa wenye VVU <ref name=Extra2005/> Sehemu zinazoathiriwa na extrapulmonary TB ni pamoja na sehemu za nje ya mapafu [[pleura]] (au pleurisy tuberculous), [[mfumo wa neva]] (au kifua kikuu cha [[uti wa mgongo]]), na [[mfumo wa limfu]] (katika [[scrofula]] ya shingo).Extrapulmonary TB pia hutokea katika [mfumo wa [mkojo na sehemu za siri]] (au [[kifua kikuu cha sehemu za siri]]) katika mifupa na viungo (au [[Pott's disease]] wa mgongo), na maeneo mengine. Inapoenea katika mifupa, inajulikana kama "kifua kikuu cha mifupa", <ref>{{citeCite book|last=Kabra|firstauthor=[edited by] Vimlesh Seth, S.K. Kabra|title=Essentials of tuberculosis in children|year=2006|publisher=Jaypee Bros. Medical Publishers|location=New Delhi|isbn=978-81-8061-709-6|pages=249|url=http://books.google.ca/books?id=HkH0YbyBHDQC&pg=PA249|edition=3rd ed.}}</ref> ambayo ni aina ya [[maambukizi ya mifupa au osteomyelitis]] <ref name="Robbins"/> Aina hatari zaidi ya Extrapulmonary TB inaitwa TB ya "kueneza", inajulikana kama [[kifua kikuu]] inayoenea mwilini <ref name=ID10/> Asilimia 10% ya kifua kikuu kinachotokea nje ya viungo vya kupumua, husababisha kifua kikuu inayosamba mwilini. <ref name=Gho2008/>
==Visababishi==
[[File: Mycobacterium tuberculosis.jpg | thumb | [[Skanning elektroni mikrografu]] ya '' [[Mycobacterium tuberculosis ]]'']]
IKisababishi kikubwa cha kifua kikuu ni '' [[Mycobacterium tuberculosis]]'', ni kiumbe kidogo, [[kinachohitaji oksijeni]] na kisichotembea [[bacillus]]<ref name=ID10>{{cite book|last=Dolin|firstauthor=[edited by] Gerald L. Mandell, John E. Bennett, Raphael Dolin|title=Mandell, Douglas, and Bennett's principles and practice of infectious diseases|year=2010|publisher=Churchill Livingstone/Elsevier|location=Philadelphia, PA|isbn=978-0-443-06839-3|pages=Chapter 250|edition=7th}}</ref> Sifa nyingi za kipekee za kiumbe hiki zinaletwa na ongezeko kubwa la [[mafuta]] <ref>{{cite book|author=Southwick F |title=Infectious Diseases: A Clinical Short Course, 2nd ed. |publisher=McGraw-Hill Medical Publishing Division |date=10 December 2007 |pages=313–4 |chapter=Chapter 4: Pulmonary Infections |page=104|url=http://pharma-books.blogspot.com/2009/01/infectious-disease-clinical-short.html |isbn=0-07-147722-5}}</ref> Ina seli inayojigawa kila baada ya masaa 16 hadi 20. Kiwango hiki si kikubwa ukilinganishwa na bakteria zingine, ambazo kwa kawaida vinajigawa kwa muda usiopungua saa mmoja <ref>{{cite book|last=Jindal|first=editor-in-chief SK|title=Textbook of pulmonary and critical care medicine|publisher=Jaypee Brothers Medical Publishers|location=New Delhi|isbn=978-93-5025-073-0|pages=525|url=http://books.google.ca/books?id=rAT1bdnDakAC&pg=PA525}}</ref> Mycobacteria wana [[muundo wa seli ya bakteria | utando wa nje]] utando wa mafuta <ref name=Niederweis2010>{{cite journal |author=Niederweis M, Danilchanka O, Huff J, Hoffmann C, Engelhardt H |title=Mycobacterial outer membranes: in search of proteins |journal=Trends in Microbiology |volume=18 |issue=3 |pages=109–16 |year=2010 |month=March |pmid=20060722 |pmc=2931330|doi=10.1016/j.tim.2009.12.005}}</ref> Kama jaribio la [[Gramu stain]] likifanywa, MTB haikolei sana rangi yaani "Gram-positive" haipatikani na rangi haionekani kwa sababu utando wake una mafuta mengi [[mafuta]] pamoja na asidi [[Mycolic acid]].<ref name=Madison_2001>{{cite journal |author=Madison B |title=Application of stains in clinical microbiology |journal=Biotech Histochem |volume=76 |issue=3 |pages=119–25 |year=2001 |pmid=11475314 |doi=10.1080/714028138}}</ref> MTB inaweza kuhimili kemikali [[dhaifu]] na hivi vimelea vinaweza kuishi katika [[kijimbegu au | sehemu kavu]] kwa wiki moja. Kwa kawaida, bakteria zinaweza kukua na kuishi tu ndani ya seli ya [[kiumbe (biolojia) | kiumbe]] viumbe, lakini'' M. tuberculosis' inaweza kukuzwa [[ndani in vitro|ya maabara]].<ref name=Parish_1999>{{cite journal |author=Parish T, Stoker N |title=Mycobacteria: bugs and bugbears (two steps forward and one step back) |journal=Molecular Biotechnology |volume=13 |issue=3 |pages=191–200 |year=1999| pmid=10934532 |doi = 10.1385/MB:13:3:191}}</ref>
Kwa kutumia vipimo vya kimaabara vya kansa [[Histology | histological]] kwa kuweka madoa juu ya sampuli ya [[mate]] yaliyotoka kwenye [[makohozi]], wanasayansi wanaweza kutambua MTB chini ya makroskopi (nyepesi) ya kawaida. (Phlegm pia inaitwa "kohozi.") MTB huacha madoa hata baada ya kuchanganywa na asidi, na hivyo hujulikana kama [[Acid-fast bacillus]] (AFB) <ref name= Robbins/><ref name="Madison_2001"/> acid-fast bacillus. Kuna njia mbili zinazotumia vipimo vya asidi :. Kipimo kinachojulikana kama [[Ziehl - Neelsen stain]], kinageuza rangi ya vimelea AFB na kuwa vyekundu na vinaonekana wazi wazi dhidi ya sehemu ya bluu,<ref name=Stain2000>{{cite book |author= |title=Medical Laboratory Science: Theory and Practice|publisher=Tata McGraw-Hill |location=New Delhi |year=2000 |pages=473 |isbn=0-07-463223-X|url=http://books.google.ca/books?id=lciNs3VQPLoC&pg=PA473}}</ref> na [[auramine-rhodamine stain]] ambayo hufuatiwa na makroskopi yenye kuakisi mwanga.<ref>{{cite book|last=Piot|first=editors, Richard D. Semba, Martin W. Bloem; foreword by Peter|title=Nutrition and health in developing countries|year=2008|publisher=Humana Press|location=Totowa, NJ|isbn=978-1-934115-24-4|pages=291|url=http://books.google.ca/books?id=RhH6uSQy7a4C&pg=PA291|edition=2nd ed.}}</ref>
Mchangamano wa “M. tuberculosis'' (MTBC) ni pamoja na bakteria zingine nne zinazosababisha kifua kikuu {[[mycobacterium|mycobacteria]]: “[[Mycobacterium bovis|M. bovis]],” “[[Mycobacterium africanum|M. africanum]],” “[[Mycobacterium canetti|M. canetti]],” pamoja na “[[Mycobacterium microti|M. microti]].”<ref>{{cite journal |author=van Soolingen D |title=A novel pathogenic taxon of the Mycobacterium tuberculosis complex, Canetti: characterization of an exceptional isolate from Africa |journal=International Journal of Systematic Bacteriology |volume=47 |issue=4 |pages=1236–45 |year=1997 |pmid=9336935|doi=10.1099/00207713-47-4-1236 |author-separator=, |display-authors=1 |last2=Hoogenboezem |first2=T. |last3=De Haas|first3=P. E. W. |last4=Hermans |first4=P. W. M. |last5=Koedam |first5=M. A. |last6=Teppema |first6=K. S. |last7=Brennan|first7=P. J. |last8=Besra |first8=G. S. |last9=Portaels |first9=F.}}</ref> “M. africanum” haijasambaa sana, lakini ndio kisababishi kikubwa cha kifua kikuu katika maeneo ya Afrika <ref>{{cite journal |author=Niemann S |title=Mycobacterium africanum Subtype II Is Associated with Two Distinct Genotypes and Is a Major Cause of Human Tuberculosis in Kampala, Uganda|journal=J. Clin. Microbiol. |volume=40 |issue=9 |pages=3398–405 |year=2002 |pmid=12202584 |pmc=130701|doi=10.1128/JCM.40.9.3398-3405.2002 |author-separator=, |display-authors=1 |last2=Rusch-Gerdes |first2=S. |last3=Joloba|first3=M. L. |last4=Whalen |first4=C. C. |last5=Guwatudde |first5=D. |last6=Ellner |first6=J. J. |last7=Eisenach|first7=K. |last8=Fumokong |first8=N. |last9=Johnson |first9=J. L.}}</ref><ref>{{cite journal |author=Niobe-Eyangoh SN|title=Genetic Biodiversity of Mycobacterium tuberculosis Complex Strains from Patients with Pulmonary Tuberculosis in Cameroon |journal=J. Clin. Microbiol. |volume=41 |issue=6 |pages=2547–53 |year=2003 |pmid=12791879 |pmc=156567|doi=10.1128/JCM.41.6.2547-2553.2003 |author-separator=, |display-authors=1 |last2=Kuaban |first2=C. |last3=Sorlin|first3=P. |last4=Cunin |first4=P. |last5=Thonnon |first5=J. |last6=Sola |first6=C. |last7=Rastogi |first7=N.|last8=Vincent |first8=V. |last9=Gutierrez |first9=M. C.}}</ref> “M. bovis” ndio ilikuwa ni kisababishi kikubwa cha kifua kikuu, lakini baada ya kuanza kutumia [[pasteurisation|maziwa yanayopashwa moto]] vimelea vya mycobacterium vimeweza kuondolewa na kupuguza matatizo ya kiafya katika nchi zinazoendelea.<ref name=Robbins/><ref>{{cite journal |author=Thoen C, Lobue P, de Kantor I |title=The importance of''Mycobacterium bovis'' as a zoonosis |journal=Vet. Microbiol.</ref> "M. Canetti " ni adimu sana na huonekana zaidi [[Eneo la Pembezoni mwa Afrika]], ingawa kuna wagonjwa wachache kati ya wahamiaji wanaotoka Afrika. <ref>{{cite book|last=Acton|first=Q. Ashton|title=Mycobacterium Infections: New Insights for the Healthcare Professional|year=2011|publisher=ScholarlyEditions|isbn=978-1-4649-0122-5|pages=1968|url=http://books.google.ca/books?id=g2iFfV6uEuAC&pg=PA1968}}</ref><ref>{{cite journal|last=Pfyffer|first=GE|coauthors=Auckenthaler, R, van Embden, JD, van Soolingen, D|title=Mycobacterium canettii, the smooth variant of M. tuberculosis, isolated from a Swiss patient exposed in Africa.|journal=Emerging infectious diseases|date=1998 Oct-Dec|volume=4|issue=4|pages=631-4|pmid=9866740}}</ref> "M. microti" pia ni adimu na inawaathiri zaidi watu wenye upungufu wa kingamwili, ingawa ugonjwa huu unaweza kuwa umeenea zaidi kuliko inavyofikiriwa<ref>{{cite journal|last=Panteix|first=G|coauthors=Gutierrez, MC, Boschiroli, ML, Rouviere, M, Plaidy, A, Pressac, D, Porcheret, H, Chyderiotis, G, Ponsada, M, Van Oortegem, K, Salloum, S, Cabuzel, S, Bañuls, AL, Van de Perre, P, Godreuil, S|title=Pulmonary tuberculosis due to Mycobacterium microti: a study of six recent cases in France.|journal=Journal of medical microbiology|date=2010 Aug|volume=59|issue=Pt 8|pages=984-9|pmid=20488936}}</ref>
Mycobacteria zingine zinazojulikana ni pamoja na " [[Mycobacterium leprae | M. leprae]], " "[[Mycobacterium avium complex | M. avium]], " na "[[Mycobacterium kansasii | M. kansasii]] ". Hizi aina mbili za mwisho zinajulikana kama " [[nontuberculous mycobacteria]] "(NTM). NTM hazisababisha kifua kikuu au [[ukoma]], lakini husababisha magonjwa ya mapafu yanayofanana na kifua kikuu <ref name=ALA_1997>{{cite journal |title=Diagnosis and treatment of disease caused by nontuberculous mycobacteria. This official statement of the American Thoracic Society was approved by the Board of Directors, March 1997. Medical Section of the American Lung Association |journal=Am J Respir Crit Care Med |volume=156 |issue=2 Pt 2 |pages=S1–25 |year=1997 |pmid = 9279284 |author=American Thoracic Society }}</ref>
|