Kindi (mnyama) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 19:
[[Xerinae]]
}}
'''Kindi''' ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Sciuridae]]. Spishi nyingine huitwa [[kidiri]] au [[kuchakulo]]. Wanatokea [[Amerika]], [[Ulaya]], [[Asia]] na [[Afrika]] na wamewasilishwa katika [[Australia]]. Takriban [[spishi]] zote huishi [[mti|mitini]], lakini [[kuchakulo]] huishi ardhini. Mkia wa kindi una urefu karibu na ule wa mwili, pengine zaidi. Hula [[mbegu]], [[kokwa|makokwa]], [[tunda|matunda]], [[uyoga|nyoga]], [[tumba|matumba]] na [[chipukizi|machipukizi]]. Wakati ambapo chakula cha kimea ni adimu, kindi hula chakula cha kinyama pia, k.f. [[mdudu|wadudu]], [[yai|mayai]], [[ndege (mnyama)|ndege]] wadogo, makinda ya [[nyoka]] na [[mgugunaji|wagugunaji]] wadogo. Spishi kadhaa za tropiki hula wadudu kushinda chakula cha kimea.
 
==Uainishaji==